Angalia Behind the Scene, ya Busu.
Ndani ya Jua Kali ππππββοΈ
Lamata anakwambia kwani nyie hamna wapenzi πππββοΈ
Angalia BTS na Result yake
Video kwa Comments π
Kutokana na Wakenya Wengi kutojua Kiswahili,
Wamekuja na Challenge ya Get Ready With Me (GRWM) AU jitayarishe nami kwa kiswahili
Ambapo humo watakuwa wanajiandaa huku wanaingea kiswahili πππ
Sikia wadada wanavyochapia ππππββοΈ
Video kwa Comments π
Mh. Waziri, tunaomba ufafanuzi kuhusu unyanyasaji wa kijinsia unaofanywa na watu kwa kushirikiana na Grok. Watu wamekuwa wakivuliwa nguo na Grok tena bila aibu. Serikali inasemaje kuhusu hili?
Hauna mishe lakini una WiFi?
Usikate tamaaβhizi ni websites 5 bora zitakazolipa kwa kazi rahisi mtandaoni.
Unaweza kuanza leo, bila uzoefu, ukiwa na simu au laptop tu.
Letβs go! (Thread):π
@kaji_sijo Hii kweli ina make sense kumbe ndio maana amri ya nne imeanza na "Ikumbuke siku ya sabato" kwaio maana yake watu waliisahau na ndio kwenye ufunuo wa Mr bates na baadae Ellen G white kufunuliwa ndio wakaanzisha dini ya sabato.. hapo nimeelewaπππ