@MfalmewaX1 Malezi upendo wa baba mtoto wa kike upendo wa mama mtoto wa kiume hawa wawili wakikuwa na kuja kuoa au kuolewa lazima ndoa zao ziwe na aman aijalishi wana hela au hawana mtoto wa kike aliyeaminishwa baba yake ni mbaya kamwe hawez mpenda mwanaume yoyote dunian the same to men
@prossoff Kaka watu wanaoa mapema 25 au 26 thn wanawake wengi hata hawo wenye sifa nzur wengi wanakuja kubadilika wakifika kuanzia 35 akiwa na watoto wawil au watatu na kijana anajua mke aliyeoa ni sahihi au syo sahihi akiwa na 40 uko no one to blame @prossoff
Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande.
Kuna hawa wanaumeโni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption".
Let me explain...
Thread:๐
@prossoff Ishi na mke ndan ndo utajua we anakuja geto siku mbili anasepa thn unamsaliti mshikaji ishi nao hawa creature miaka mitano ndan kama hutakuja kufuta hii post
@Phbhimself Nilikuwa na ratiba hiz zaidi ya miaka kumi ya kuishi bachelor nikiwa kazin kuna jambo nimejifunza haswa nilipoa na kuanza majukumu ya kifamilia unapoish na mtu unakaribisha roho nyingine na kama ispoendana na ile roho yako ya kuamka kusali,kumeditate na mazoez kunakuwa na vita ka
@officialshakuu Hakuna mkate mgumu mbele ya chai yan hakuna mwanaume mbish mbele ya nwanamke mtii,mtulivu na mshaur wanaume hawapend kalele,hawapendi dharau siku ukinfanyia hv ujue moyo wake unahifadhi na akikutoa amekutoa ndo hv ukiona mwanamke analaamika chunguza sana kosa si la mwanaume
Kila mwanaume umezaliwa na thamani ya juu lakini inahitaji kazi kubwa kuichimbua thamani yako.
Kuacha punyeto ni hatua ya kwanza itakayokusaidia kusogelea nguvu zisizokuwa na kikomo kutoka kwa mababu zako.
Ni aibu sana kuwaangusha wanaokutegemea, itumie nguvu ya ngono kuwa bora na kuwa role model wa kizazi chako, role model wa wanaume karibu yako, role model anayewatoa wanaume wakike kuwa wanaume halisi.
Kama umejifunza kitu kwenye huu uzi tufollow @MfalmewaX1 repost & share.
Be a Man.
Mwisho.
@Kimatainocent@McinikaWaLamar Hyo kama yangu nimemaliza dorm six back to 2008 tukaenda na mshkaji wangu tukabebeshwa mavyombo kuanzia summit centre mpaka njiro kwa mguu tukala buku tano sikurudi tena nikasema acha nifie kwa mazaa
@officialshakuu Umeshakuwa manipuleted na mke wako yan umekuwa mwanaume ambye soya boy ujiwez kiakili,kimwili hadi kiroho huna tatizo lolote la nguvu za kiume ila kiakili na kiroho ni mweupe....ulichobakiza hapo ni kuletewa watoto mbao siyo wako...
Hamka usingizini,anza mazoezi,anza kusali kula
Sina budi kusema kuwa inawezekana tumedanganywa sana au nimepotoka pia kuamini hili.
Kupitia speculations zangu nimekuja kung'amua kuwa hatupaswi kuwa na ugomvi wa kidini na kimadhehebu.
Kwa kuwa wote tunachezeshwa na ka kikundi ka watu wachache wajiitao luciferian.
Hivyo ili kuakikisha siwi na bias katika judgement zangu nimeamua kuweka hisia/mihemko ya kidini kando nakuamua kuchimba kujua chanzo cha yote haya ni nini na haya ndo majibu nilokuja nayo.
The luciferian Mindset yaani fikra au mtizamo wa ki-ibilisi ambao ni chambo au mtego ambao ukishanasa humo kutoka ni vigumu.
Unakuwa humo kwenye cage ambako uoni mlango wakutokea wala mwangaza wa kujinasua na dogma hii yenye nguvu kuu ulimwenguni.
Ambayo imefanikiwa kuteka fahamu za mabilioni ya watu duniani nakuwafanya kuwa watumwa wake kwa miaka mingi sasa.
Katika ngazi za juu kabisa za maamuzi wanakaa waanzilishi wa dogma hii yaani kikundi cha wachache au wapigaji wa ngoma then sisi tumeachiwa tuingie kucheza staili yeyote tuitakayo maadamu lengo lao wao litimie.
Wao utambua kuwa "There Is No Supreme God" hakuna Mungu mkuu mwenye mamlaka yote.
Isipokuwa umoja mmoja wa wapotoshaji wa kishetani waliojifanisha kana kwamba ni miungu Mungu na shetani. A Cabal yaani wala njama dhidi yetu wanadamu.
Likitoka daraja hili la watunga sera, miongozo na taratibu zakufuatwa yanakuja madaraja makuu mawili ya mrengo wa kukinzana.
Yaani wale wanaoonekana kana kwamba wanatuambia ukweli ila uthibitisho ni kwa njia ya kiroho na wale tunaowashuku kuwa wanatudanganya ila wao ufanya mengi kimwili zaidi.
@MarekaMalili Hasa uku kwa sisi ngozi nyeuis kwel baragiza kuna mambo mpaka unajikuta na ww badaye unakuwa na roho ngumu mara nne zaid yao kwa jinsi ulivyopitishwa