@therealrigoh Nishawahi exp hii inshu ya pacome though mmi ndo niliepigaga sliding takcle nikakutana na siki la manyasi na mtu akanikanyaga kwa juu huwaga wanaita dislocation sio fracture hogo atafungwa ila mara nyingi yanatokeaga malenge lenge au uvimbe so inabid upungue ndo afungwe hogo
@therealrigoh@ramamobilehub 1.Hairline fracture → mfupa unakuwa na ufa mdogo sana.
2.Complete fracture → mfupa unakuwa umekatika kabisa sehemu mbili au zaidi.
https://t.co/Bnpn8ttBdP fracture → mfupa unakuwa umevunjika na kutoka nje ya ngozi, hii mara nyingi inakuaga ni emergency ⚠️
Hapo vip?
Riziki anagawa Mungu na kila mwanadamu hapa duniani ana wakati wake wakuipata, ila huo wakati ukifika basi tunza hela, fanya maendeleo, kama ni kujenga sijui viwanja nunua, huu muda ukipita ningejua yake ni mpaka unaingia kaburini.
Kuwa mwanaume si rahisi. Unaanza siku ukiwa na hela, dakika chache baadaye unakumbuka bili, deni, na ahadi ulizotoa. Ghafla unajikuta unasema, “Mwezi huu una siku nyingi kuliko kawaida.” 😂
Weka Kumbukumbu nzuri mioyoni mwa Watu maana Utakumbukwa zaidi, Hata familia yako itafurahia kutokuwepo kwako, Wema Unadumu zaidi na Mwisho wa Ubaya AIBU .
امسك بقاياك، يكفي منك ما وقع
"Yashike vizuri uliyobaki nayo. Yale ambayo yameshaanguka sasa inatosha."
✍️ Usiendelee kujiumiza au kupoteza zaidi baada ya kupitia maumivu au hasara. Jikinge na jikusanye ili usiharibu kile kilichobaki kwako.
Kama una familia inayokupenda, marafiki wema kadhaa, chakula kwenye meza yako hakikauki na pahala pakuishi. Hiyo ni Neema kubwa kuliko vile unavyofikiria 🙏
Usiamini sana kila kitu kinachopostiwa mtandaoni.
Sio kila kinachoonekana ni uhalisia
Wengine wanaonyesha mafanikio, lakini wanaficha mapambano.
Mitandao ni pazuri pa highlights, sio maisha halisi. Chuja unachokiona, linda akili yako. Kaa kwenye mstari wako
Ili kupata matokeo katika kitu unachokifanya ni lazima kuwe na mfungamano, ‘Alignment’ katika maeneo haya;
1. Fikra -Thoughts
2. Imani - Faith
3. Hisia - Emotions
4. Matendo - Actions
Align!
Kuna kitu kinaitwa Inner Warning.
Ni pale akili yako inasema,
“Fanya.”
Lakini moyo wako unasema,
“Subiri usifanye ”
Huelewi kwanini ..?
Wengine hiyo sauti huiita intuition.
Wengine huiita instinct.
Waamini wengi huiita ni sauti ya Mungu akikuepusha na jambo usiloliona.