@SalimuIbwe Na baadhi yetu tunadhani ni mapendekezo ya walimu, kumbe ni maamuzi ya kikao cha wazazi chini ya m/kiti wa bodi ya shule. Wazazi ambao pengine wamepewa mawazo na vijana wao Gen Z
@k_mjege Tunaona na 'inawezekana' hatupendi. Tunasema na kuandika. Halafu tunafanya nini kubadili hali? (Assuming wengi 'wetu' ni washiriki kwenye hili)
@Adventure_36 Sijui kwa nini watu bado wanafikiri Wahadza hawana uhusiano na 'dunia ya sasa', hao wanaoonekana kwenye video wapo kazini. Kwenye maisha ya kawaida pombe sio jambo jipya kwao, karibu Mang'ola
@mhdhamad@WizarayaUJ@SuluhuSamia Layer nyepesi kweli ya lami juu ya kifusi cha tifutifu. Huyo hawezi kukamatwa, alijengwa kwa kufuata maelekezo. Walijua ...
@LelloMmassy "Kubariki" na "kukubali", tafuta waraka uusome. Msimamo bado ni ule ule, ila Papa ametatua mgogoro wa makasisi. Je, akija mtu anayefahamika kuwa ni shoga apate au asipate baraka ya padri?