Dealing with social workโ๐ฝ, Liverpool die hard funs , chawa wa allah โค๏ธ๐ถ . mr socialists, buzness maker by the way.visting lushoto +kivilicha
@FKihamu Kwa nini mjadala usingepelekwa kusoma KATIBA iwe ni lazima au katiba iwe kama kitabu cha kujibia mtihani kama tunavyosama pass like shadow, three suitor one husband? Kabla ya kushusha umri wa kupiga kura ??? Kwa nini kila mtu asingelamishwa kujua sheria za nchi yake ? @FKihamu
Kuna jamaa yangu die hard funs wa Manchester united , ameniambia kumleta RIO sio kitu kibaya lakini sio kwa kipindi ambacho aitakiwi kupotea hata sent moja kwa kipindi hiki .Anasema topic ya taifa ingekuwa mafuta ili kupunguza price inflation ya bidhaa .
@MwananchiNews Kipindi kigumu kama hiki hutusitahili kupoteza hata sent moja kwa ajili ya matumizi yasiyo ya na maana sasa warembo unawaleta watasaidia nini kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi โฆ.??
@millardayo@abdallahulega Solution ni nikutoa ICD zote mjini na kuweka pembeni mwa mji kama kibaha au kwala โฆโฆ..!! Kulikuwa hakuna haja ya sgr kwenda mpka mjini ingeishia sehemu kama pugu but solution kubwa kutoa foleni ni kutoa icd mjini na kupunguza idada ya malori then kuongeza utanuzi wa barabara .
@Roma_Mkatoliki Zitapigwa simu kwenye ukoo mzima kuwa leo mgonjwa amemaliza kikombe cha uji โฆโฆโฆ!! ๐ญ๐ญ dah half hata wawe wakli vip huw utamu ni ule ule tu
@Jambotv_ Kwani kuna haja gani ya kusoma katiba mbele za watu kwani hii katiba isingefundishwa shuleni kama tunavyosoma vitabu vingine vya novel tena vya nje huwa inakuwa ni lazima kwa kila mwanafunzi kuisoma katiba kama hvyo vitabu?
Tunasoma vitabu vingi sana shuleni kwa ajili ya kujibia mitihani tena ni lazma lakini kulikuwa na haja gani kwenye mtaala wetu wa shule tungewekewa na katiba ya nchi yetu ikawa ni moja ya kitabu cha kujibia mitihani ?? Tunasoma vitabu tena vya nje kama this time tomorrow.