Ferran Torres anawanyamazisha kabisa Argentina na kuwapa Ubingwa Uhispani kwa kufunga bao pekee lililowapa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2026 Uhispania kwenye mchezo wa fainali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 6, 2026 amemjulia hali mchezaji wa Yanga SC, Pacome Zouzoua anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es salaam.
Pacome anaendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga SC na JKT Tanzania, uliochezwa hivi karibuni katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
#MillardAyoUPDATES
UEFA imekosoa uamuzi wa FIFA wa kufuta kadi nyekundu aliyopewa mshambuliaji wa Marekani, Folarin Balogun, ikieleza kuwa kitendo hicho si cha haki na kinaweka rejea mbaya katika soka.
Imesema kuwa soka linaendeshwa na sheria duniani kote, na kwamba zinapowekwa kando, ubora wa mchezo unaathirika na imani juu ya mashindano inaondoka.
Uhispania wanapata bao la uongozi dhidi ya Ureno katika dimba la Dallas, Texas kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Portugal 🇵🇹 0-1 🇪🇸 Spain
⚽ 90+1' Merino
#KitengeSports
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka Nchini leo Jumatatu, July 6, 2026 kwenda Paris, Ufaransa kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani.
Maadhimisho hayo yanafanyika kwenye makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kuanzia tarehe 4-7 Julai, 2026.
Pamoja na mambo mengine, maadhimisho hayo yatatoa fursa ya kuitangaza lugha ya Kiswahili na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kukuza na kuieneza lugha hiyo duniani.
#MillardAyoUPDATES
@ajirapsrs Nilipofika kwenye usahili WA mzungumzo nilishangaa wananiuliza kila swali najua mpaka dharau sikushangaa ajira zilipotoka nikiwa page ya kwanza kabisa . Aisee watu wasome Sana huu mfumo NI mtamu Sana na haina mbambambaa, if you know baaasi stay blessed