@PMadeleka Abasi magongo, Abdullah shebe na hassan juma watanzania walipewa uraia wa Kenya na wakacheza harambee star na Gormahia kwa mafanikio makubwa
@FKihamu Sisi ndio tulikua tunajilinda, walicheza mabeki weng, nzinze akabak forward pekee akashindwa kufurukuta,bora bac angecheza msuva acye na timu lzm angefurukuta tungepata bao
@Tanfootball@CAF_Media@CAF_Online@TaifaStars_@Samagoal_77 Huu ndio wkt wakuwaenzi wachezaji waliotupereka Nigeria kwa mara ya 1, kuwaoereka ivory Coast kuangAlia mechi za wanao kizaz kipya, co muda wa kuangaika na wasanii na viongoz waco tija ktk soka
@Tanfootball Tff , boko na kapombe ndoo wametufikisha apo tulipo,(wamevuja shao lao) si vibaya wakajumuishwa kama washaur uko ivorycoast. Km vile Nigeria wanavyosafiri nao kina kanu, kuliko kuwa na msululu wa viongozi wasio na faida ktk soka
@Tanfootball@TaifaStars_ Kwa safari ya Afcon binafsi, binafsi John boko na Shomari kapombe lzm waende upande wa uhamasishaji au viongozi jasho lao limetumika sana adi timu kufika hatua io, tufanye km Nigeria wanavyofanyaga kwenda na kina Kanu, si busara kwenda na viongozi wengi ao