MKUU WA WILAYA GEITA AFANYA KIKAO KAZI NA MAAFISA KILIMO NA MIFUGO WA KATA ZOTE 50 - ATOA MAELEKEZO KUIMARISHA SEKTA ZA UZALISHAJI
Kusoma zaidi >>> https://t.co/vZtCDpKbbI
WACHEZAJI 43 WA MANISPAA YA GEITA WAPEWA HAMASA KUELEKEA MASHINDANO YA SHIMISEMITA 2025
Wachezaji 43 wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita walioteuliwa kushiriki mashindano ya SHIMISEMITA 2025 wamepewa...
https://t.co/z7OuCBnxxL
KAMATI YA LISHE YA MANISPAA YA GEITA YAFANYA ZIARA YA UFUATILIAJI WA HUDUMA ZA LISHE MASHULENI
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Manispaa ya Geita imefanya ziara ya Ufuatiliaji wa Huduma za Lishe Shuleni ikiwa ni .....
Kusoma zaidi >>> https://t.co/PivVktXuMQ
WARSHA YA UHAKIKI WA TAKWIMU
MPANGO WA HATUA ZA TABIANCHI BUKOBA NA GEITA – MFUKO WA GAP
Akifungua Warsha hiyo katika Ukumbi wa EPZ Bombambili, Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Ndugu Yefred Myenzi
Kusoma zaidi >>> https://t.co/dBTjLIRT9Y
Taarifa hiyo itarushwa katika matangazo ya moja kwa moja kupitia vyombo vya habari vya TBC, Star TV, Storm Fm, Rubondo Fm Redio , Maelezo TV na Mitandao ya kijamii. Usiache kumsikiliza kuanzia Saa 4:30 Asubuhi
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela leo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO Dodoma akielezea mafanikio ya Mkoa wa Geita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani
@ortamisemitz Stendi hiyo mpya itajengwa katika kiwanja namba 1, kitalu "G" chenye ukubwa wa mita za mraba 109,450 sawa na hekta 10.9 kilichopo Mtaa wa Magogo, Kata ya Bombambili. Eneo hili limetengwa mahsusi kwa matumizi ya stendi ya mabasi na linamilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Geita
BILIONI 19.1 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI MANISPAA YA GEITA
Hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Kituo cha Mabasi imefanyika leo tarehe 06 Juni, 2025 katika Ukumbi wa EPZA uliopo Bombambili katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani Geita.
ambapo Muda wa utekelezaji wake ni Miezi 15 kuanzia tarehe 15 Juni, 2025 hadi tarehe 14 Septemba, 2026 na utekelezaji huu unafanyika kupitia mradi wa uboreshaji Miji Tanzania (TACTIC).
@ortamisemitz