@chicharitojr9 Na amn viongozi wanaamn ndio suluhu ya tatizo ilawajue tu ikifika kipindi na sisi tunaamni wao ndio suluhu ya matatizo tutaomba watupishe pia
@amrisaly Kila mtu ana mtazamo wake kaka kwenye ilo cha msingi n malengo mipango na kujituma tukiamini hamna kitu rahisi maishani kwenye upande wa mafanikio
@Giantrhl Na ni timu pekee ambayo asilimia 85 ya mafanikio ya nikiwa na maana ya mataji waliyonayo yametokana na michango ya wachezaji ambao sio raia wa hispania kwa maana iyo tuseme kwambwa....????