Ikawe Wiki yenye Kufungua Baraka zetu na mafanikio yetu na kurudisha Tabasamu lililopote na kutupa tumaini jipya la kusonga mbele bila kukata tamaa Amen🙏!
AJERUHIWA KISA CHAPATI 5
Mwanafunzi wa kiume(13) mjini Mombasa amepata jeraha kwenye ini na sehemu za siri baada ya kuchapwa na mwalimu kwa kosa la kula chapati tano badala ya moja,Mamlaka nchini Kenya zimeifunga shule hiyo kutokana na tukio hilo lililokosolewa vikali na wananchi