@ChiefLumanyika Kila mtu ana uhuru na utashi wake na ana ndoto zake pengine kaaona Chadema sio mahali pa kutimiza hizo ndoto.Sio lazima Kila mpinzani awe Chadema
@ChiefLumanyika Unashida gani na Mzee Mbowe wewe kijana ! Unataka hata kumpangia pa kwenda! Mtu ana mawakili 30 hata wote tusingeenda ni sawa tuu.Anapata haki ya kisheria acha kumsakama Mzee wa watu
@YerickoNyerereT Yeriko hivi wewe kama Baba unaletwa kwenye mkokoteni umelewa utapata wapi hiyo heshima.Sisi wenyewe tume precipetate hiyo hali .Kama tusingekuwa tunabandikana kesi hawa watu wangetoka wapi!.Wapi umeona duniani mtu moja akawa mhaini!
@Jambotv_ Huyu ni mpuuzi tuu mtu kujavkusikiliza mwenendo wa kesi ni kuingilia mambo ya ndani !.Wewe tukikuona mkeo anakupiga na kutaka kukua tukimzuia au kumkemea ni kuingilia mambo ya ndani ?
@TweveDevota Shida ya Uongozi mpya .Kwanza hautambii ulishinda kwa 51% na alimpita mwenzake kwa kura 34 kazi kubwa ya kwanza ilikuwa kuunganishw chama na kutibu majeraha hawakufanya
Pili kuona yeyote mwenye mawazo tofauti na wao kahogwa au msaliti hivi hawezi kfk popote
@muhaluro1 Mimi sikuelewi mtu kuja mahakamani kusikiliza kesi inaingiliaje uhuru wa mahakama!
Yaani unamwangalia tuu kwa macho mtu unasema eti atafuruga amani.Hivi uliendika humu ni wakili kweli au unatania hebu kuwa serious?
@davitheempire Kijàna acha kulilia .Mbowe hamiliki wanachama wa utashi wao kwani yeye ndio aliwaleta wamekuja wenyewe na wanaondoka wenyewe angalieni .Wapi mmejikwaa sio Kila kitu Mbowe ,Mbowe mtakuwa lini,!
@IamLyenda Kauli zako pekee yake zinatosha kuthibitisha ulivyo.Kuwa na mawazo tofauti kwenye chama ni jambo la kawaida.Mfano Chama cha Conservative Uk.wapo waliokuwa wanapinga Brexit lakini hawakutegwa .mtu kupinga no reform sio dhambi Kwa nini anyanyashwe!