Mtu akiweka email yako kwenye hii website inaonyesha location uliyopo, locations ulizokuwepo, mitandao ya kijamii uliyotumia sometimes mpaka namba za simu๐ณ
After being trained what follows is for you to BACKTEST YOUR TRADING SYSTEM.
Through Backtesting:โคต๏ธ
1. Utafaham timeframe gani huwa zna-work vizuri kwny system yako kama ni 4H, 1H, 1D au zngnezo.
2. Utafaham ni structure ipi/zipi huwa ina/zina work vizuri kwny system yako.
3. Utajifunza different trading scenario ambayo maybe hukujifunza kwa Mentor ila through Backtesting
imekupa wins za kutosha which means itafaa kwny mfumo wako.
4. Utafaham kundi gani la Traders upo i.e. Scalper, day trader, swinger or you can be allโฆthrough Backtesting utafaham.
5. Utaielewa trading system yako vizuri na kwa undani zaidi.
Baadhi ya faida chache za kujitengea muda wa kufanya BACKTESTING from what you have been trained.
#xtwcommunity
ONE DREAM,BIG DREAM๐
When your "why" is clear, the "how" becomes easier.
Donโt just ask
โข Why am I doing this?
โข Why is this happening to me?
Also ask yourself
โข What is this teaching me?
โข Who is this shaping me into?
โ your why is clear, the how is Easier
Kuna theory fulani inaitwa the 4 burner theory. Inasemanga to be super successful at something in life, one burner or two must be sacrificed. The 4 burners are family, health , friends & work. Most great founders always operate minus one.
Nimesaidia zaidi ya Traders 200 (na bado naendelea kusaidia) kuunda "EDGE" mfumo bora wa kulinyonya soko.
The profitable trading system ambayo inaunganisha components za concepts mbali mbali (Different trading Strategies) nakuifanya kuwa Jiwe moja (One trading system).
Nimeunda Community ya traders kwaajili ya kuvutana, kushikana Mkono, kuelekezana na kukua pamoja ndani ya Industry (Familia). Sio rahisi kukata tamaa kwa mtu ambaye ni sehemu ya Familia yetu.
Now, nimekuwa nikitrade na personal account kwa muda mrefu, lakini kwa kutambua kuwa sio kila mtu anaweza akafikia kuwa na personal account size kubwa Ambayo inaweza kumfanya asitrade kwa pressure na kubadili Maisha, nimeunda Kampeni ya watu kujiwezesha ku fund personal account zao kupitia PropFirms. Yaani, nitawapika matraders kwenye Technical Ili kuunda Edge, then tutakuwa na Msasa wa Psychology na Discipline. Kisha tutazigeukia Propfirms kununua account kubwa kwa pesa ndogo kisha tutazitrade ziwe funded, after payot Tuta-Fund Live accounts na kutrade ili kutengeneza Pesa.
HII KAMPENI ITAANZA MWEZI WA NANE AMBAPO MTIRIRIKO WAKE UTAKUWA KAMA HIVI
1. Mwezi wa 1 (August)- Tutakazania kwenye Technical kwa kuangalia Gaps zilizopo na kuzi sort. Kuweka utaratibu wa karibu na wanafunzi na ku stick na Ratiba yetu ya vipindi. Kwa wale ambao wanahitaji usaidizi wa karibu zaidi (wanajifunza Slow slow) tutawasaidia kwa kuwapa Wanafunzi wenzao pia ambao wako vizuri na wana Perfomance kubwa sokoni wawaelekeze na kuwasimamia ili kuunda usawa (au hata kukaribia usawa) wa uwezo wa kuli-approach soko. BUILDING PROFITABILITY.
2. Mwezi wa 2 (Septemba)- Tutautumia Mwezi mzima Kujenga Psychology na Discipline kwa kuendesha vipindi mbali mbali vinavyohusu Psychology na Kuweka utaratibu wa kusikiliza Changamoto za Mmoja mmoja zinazohusu Saikolojia na kushauri njia bora inayoweza kupunguza athari na madhara ya psychology Mbovu Sokoni.
Mwezi wa 3 (Oktoba). Tutatumia wiki Moja ya mwanzo kuchambua kuhusu Propfirm, Rules, na utaratibu wa ku-Acquire na ku pass PropFirms. Then mwezi huo huo Nitawaruhusu wanafunzi waanze kutrade prop. Hii itakuwa kama huduma na sio Shuruti kwa mwanafunzi yeyote.
MORE UPDATES TO COME.....
Mokiwa, The scalping Professor!!