@Level1410795@mentor209 Inasemekana tangu zamani ilo jengo lilijengwa na engineer alikua kalasinga sasa alivomaliza iyo project Mzee mwacha alimzulumu fedha zake mpaka anafariki iyo kalasinga alikua anadai izo fedha akachukia na kuacha laana kwamba jengo halitakaa likae mtu wala kutumika pia
@Marijani64242@Labella_Mafia95 Nilivoenda bank kuwauliza kwa nini mmenikata 100K wakadai eti account yako haukutumika mda mrefu Soo tumekata madeni nikaachana nao kuanzia siku iyo mpaka ikawa dormant sitaki hata kuwasikia kabisa.
@Labella_Mafia95 Yaani hawa CRDB hawafai mpaka Mini statement unakatwa 381 Wana makato yamezidi sasa hawa ukitoa full statement napo unakatwa 5K bdo sijui monthly maintenance fee 1800 yaani makato kibao NMB hawana makato mengi ivo
@Labella_Mafia95 Yaani hawa CRDB hawafai mpaka Mimi statement unakatwa 381 Wana makato yamezidi sasa hawa ukitoka full statement napo unakatwa 5K bdo sijui monthly maintenance fee yaani makato kibao NMB hawana makato mengi ivo