Binadamu tumeumbwa kusahau bwana sio kwa ubaya lakini 😎 hii 2023 hapahapa Afrika Mashariki kwenye Nchi ya Uganda kwa jezi yetu ya Yanga ambayo ilikuwa Bora Barani Afrika kwa msimu wa 2021/2022 kutumika kwenye video ya muziki hii kutokea Uganda nyimbo inaitwa #Collabo by @ugaboysafrica
Naomba comments fupifupi tusikanyagane 🤣🤣🤣🤣
***************************
Human beings are naturally forgetful, not out of malice, but that’s just how it is. 😎 This happened right here in East Africa, in Uganda, in 2023, where our Yanga jersey—crowned the best in Africa for the 2021/2022 season—was featured in this Ugandan music video. The song is called #Collabo by @ugaboysafrica.
Drop your short comments, let’s not step on each other’s toes! 🤣🤣🤣🤣
@AyTanzania huu "Asante" mbona kama ndio umetoka leo asubuh
@marcochali naomba mualiko hata kuja kutembea Mj records and snap some photos with you guys please.
Mh @MwanaFA huu wimbo huu aseee "Kiboko Yangu" ft King @OfficialAliKiba tangu nimetoka Moshi mpaka Dar una banggg tu kwa akili na masikioni. Najikuta namuimbia mtoto wa mtu kama naenda ukweni vile kwa mara ya kwanza.
@Masandawana@CAFCLCC We were robbed clearly. That's why many Africans footballers are playing for the European national teams and clubs but not this corrupted rubbish football.
@MwanaFA@YoungAfricansSC Mkuu naomba kujua kitu, kwani hata ikifahamika kuwa lilikuwa ni goli na marefa hawakutoa haki. Je, tutapewa goli au nafasi ya kuendelea?