Tusiishi kwa tunachosikia,ni vema tukaishi uhalisia wetu, ukiyasikia wasemayo juu yako iwe jema au baya take lesson huna haja ya kuwajibu Wala kuwachukia maana ni hao hao watakao kupeleka kwenye kilele Cha baraka zako
Nawakumbusha mwisho mwisho watesi wa Arsenal
Make peace with it . Hii ilishaenda muda tu sema wenzangu bado mlikuwa in denial .
Okoa moyo wako kwa stress.! Itakusaidia๐๐๐
Wengi wameona maajabu ya Arsenal ya kuifunga Madrid Magoli Matano (5) tena home and away na kuindoa kwenye UEFA, lakini wachache wametambua Ubora wa Mikel Arteta kwenye kuisuka hii timu. Huyu mwamba ni kocha kweli kweli. Tumpe heshima yake kwa kuretweet mpaka ujumbe huu umfikie.
Nguvu kubwa 2 ambazo mwanadamu alipewa na Mungu ni:
1. IMAGINATION - Uwezo wa kuumba akilini
2. CREATION - Uwezo wa kubadili idea kuwa uhalisia
Utimilifu wa mwandamu ni kutumia hii tunu ๐ฏ
Shirika la Kimataifa la Kulinda Wapigania Haki (DEFENDDEFENDERS) lenye Makao yake Makuu mjini GENEVA, USWISI, limemtaja WAKILI PETER MADELEKA kuwa MPIGANIA HAKI BORA NCHINI TANZANIA kwa MWEZI JULAI 2024.
Jumatatu ya tarehe 5/8 mida ya saa nne asubuhi na mapema tu tu dada wa kazi alinitumia meseji mida ya saa nne asubui kuwa umeme umebaki point 60! Meseji niliiona nikasema nitanunua umeme hata baadae madam bado mapema nitanunua bhaana!!
Eenh nisijisahau aiseh!!๐๐
Tusitake kujificha kwenye kichaka cha waamuzi wa leo kwa kuangalia tukio 1 la mwisho,mana kama wangekuwa makini basi Yanga angeshinda mabao 5 ktk mchezo wa leo,mawili yalishazama,penati 1 na offside za mchongo kama 3, Yanga ni above level kwa Simba sasa,wajipange hakuna namna.
๐๐๐๐๐ cha Mateso kutoka kwa ๐๐๐๐๐๐ Maxi ๐๐ฝ
7+1=8 Mwananchi unasherekea 88 ukiwa wapi?
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko