@Zendajr2@SimbaSCTanzania We uto vp.. inakuuma kusajili fabrice eeh.. mana kasajiliwa mwkaa huu January kwenye usajilj mdogo na south sudan kuna vita ndiomana wengine wanasepa
@MatataFk@SimbaSCTanzania Hahah usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Mbona huyo namba sita wenu aliwatoroka kwa pesa zipi mlizonazo😝hamlipi wachezaj vizur kazi kubwabwaja tu. Na kuwalisha ugali na sukari
@ezylife02@SimbaSCTanzania Wasanii huwa wanaenda na upepo sana. Kama hujajua miaka mi 3 nyuma mbona wengi walikua simba. Ww kama huwajui wasanii vzr usiongee kabisa mana maisha yao tu kwenye mitandao wanafake sembuse kwenda na upepo 😝😝😝😝
@Annurjuma1 @privaldinho@CRDBBankPlc Sasa ww ulitaka waweke rangi ipi mana simba ni red and white. Then crdb ni green and white.. au ulitaka iwekwe white ..