@MankindUwezo@SuluhuSamia Exactly unajua Sana kufkria,kwa shule zilizo vijijini na maeneo ya shule yapanuliwe ili shule zijihudumie kwa chakula, shule za day zinachangamoto Sana hasa hizi za mjin kwa sababu ya mtindo wa maisha, watoto wengi wanafeli kwa sababu ya mazingira
@MwitaJulius2000 @mdudechadematz @HildaNewton21 Yan wanasiasa mnataka watu wa kusimamia muhimili ambao wenye huo muhimili ni wanasiasa,zen mawazili wasiwe wanasiasa, mnataka kutengeneza kundi la watu wanafiki,watakao danganya kuwa hawana vyama kumbe ni wanazi wakubwa wa vyama
@RealHauleGluck Chadema ni watu wanajiona wanajua kila kitu,na wapo sahihi ktk kila kitu wanacho fikiria,lakn ajabu ni kwamba kila jambo linalofanywa na wenzako Lina kasoro,lakn wao kila siku wanaimba na kimtukuza Mbowe
@communisttz@tanescoyetutz@rollymsouth Unataka tuamini kwamba kila kitu unapika kwa kutumia umeme,Kama ikulu Kuna mkaa inakuwaje ww unaishi buza ukose mkaa au jiko la gesi
@hancymachemba@siadevinci Kwa ngazi ya Urais hata Kama ungemuweka@hancymachemba,haijalishi anakubalika au hakubaliki atakuwa Rais kwa kipindi chake chote kwa mjibu wa katiba,CCM bado ipo Kama corona imesambaa kila mahali