Unapoianza wiki nachukua nafasi hii kukukumbusha kuwa, Mungu amekupa nafasi ya kuishi ili utende haki na huruma. Katika yote ufanyayo kumbuka kutenda haki na huruma.
Kazi inafanyika kwenye kila kona ya nchi ,hatutalala wala kuchoka kwani @ChademaTZ2 ni tumaini la Watanzania @BawachaTaifa tunasema KATIBA MPYA !FREE TUNDU LISSU
Huyu mpigania Uhuru wa tanganyika mkampoteza . Msipotujibu nyie hata watoto wenu watajibu siku Moja . Nisipowauliza Mimi hata wanangu watawauliza. Hatunyamazi
Sasa ni saa tano na nusu Usiku, Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn anaendelea na Kikao na Viongozi na Wanachama Mkoa wa Iringa.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.💪
#TANZANIA:CHADEMA YAOMBA MAHAKAMA, RUFAA KESI YA LISSU ISIKILIZWE MAHAKAMA KUU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTZ2 ) kimeiomba Mahakama kuhamishia usikilizwaji wa rufaa ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kutoka Mahakama ya Rufani na kupelekwa katika ukumbi mkubwa wa Mahakama Kuu ya Tanzania uliopo Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, alisema ombi hilo limelenga kutoa fursa kwa wananchi wengi zaidi kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo inayotarajiwa kusikilizwa Alhamisi, Juni 11, 2026.
Mnyika alisema chama hicho kimepokea taarifa kutoka kwa Lissu akiwa mahabusu kuwa amepewa barua inayomtaka kuwasilisha orodha ya watu 40 pekee watakaoruhusiwa kuingia katika chumba cha Mahakama ya Rufani kusikiliza rufaa yake.
Kwa mujibu wa Mnyika, Lissu amekataa kuandaa orodha hiyo kwa kuwa anaamini wananchi wanaotaka kufuatilia kesi hiyo wanapaswa kupewa nafasi ya kufanya hivyo bila vikwazo visivyo vya lazima.
"Hatutaki kuona wananchi wakizuiwa kufuatilia kesi ya kiongozi wao. Tunaamini Mahakama inaweza kutafuta suluhisho la kutoa nafasi kwa watu wengi zaidi kuhudhuria," alisema Mnyika.
Chadema imeiomba Mahakama kuzingatia matumizi ya Chumba Na. 1 cha Mahakama Kuu, akieleza kuwa kina uwezo mkubwa zaidi wa kupokea watu wengi ikilinganishwa na mazingira ya sasa ya Mahakama ya Rufani.
Kuhusu mamlaka iliyotoa barua inayodaiwa kuwasilishwa kwa Lissu, Mnyika alisema taarifa walizonazo zinaonyesha kuwa ilitoka katika utawala wa Mahakama.
Tokea jana usiku na leo siku nzima mlikuwa mnaniambia polisi wametapakaa kila kona maeneo ya Ukonga, Posta, Mwenge huko kwenda mbele
Mkauliza mbona ni kama Lissu ataletwa mahakamani - nikaingia kazini kufukunyua hadi nikapata taarifa zao waovu!
Kumbe walipanga upumbavu wa house arrest - mi nilipowalipua wameghairi hadi press ya lienzi lao ghafla limeahirishwa 🤣
Eniwei nyie mwachieni Lissu
#FreeTunduLissu
Kila siku hapa imekuwa kama kutembea kwenye kivuli kisichoisha. Tumekuwa watu wanaoishi kwa kuangalia nyuma kuliko mbele. Mazungumzo ya familia hayana tena uzito wa upendo wa kawaida, yamejaa hofu sana, fulani katekwa… hajulikani haliko, kakamatwa, kapigwa, kanyimwa dhamana, kapotea, kauwawa, kajificha. Yaani ni maneno mazito na ya huzuni sana sana. Nafikiri haya ni mazungumzo ya familia nyingi sana siku hizi. Nafikiri mimi naweza kuwa mbele sana. Ni maisha mabaya sana.
Watoto wananiuliza maswali ambayo hayafai hata kuingia kwenye akili zao, naye mke anazungumza kwa sauti iliyovunjika na macho ambayo yamechoka kulia kimya kimya. Unaweza kuona na kuhisi kabisa. Nchi imekuwa kama jeraha la wazi, na sisi tunajaribu kutembea bila kulikanyaga, hata kama liko chini ya miguu yetu.
Lakini kilichouma zaidi ni kuona hofu imekuwa utamaduni wa kawaida na kitu tulichokipokea kama hewa, hadi tunaisahau kuwa si kawaida. Na katika ukimya wa usiku, na kama unajali kwa upendo, lazima utasema, Mwenyezi Mungu, usiruhusu hata watoto wa watesi wetu na watesi wa nchi hii waishi maisha haya ya hofu kwa kiwango cha namna hii. Maana ni maisha mabaya sana. Maana maumivu yanapokuwa makubwa hivi, adui pekee tunayebaki naye ni giza na si mtu.
Hata hivyo, katika moyo uliovunjika bado kuna cheche ndogo ya matumaini. Kwamba siku moja tutaongea kama binadamu tena, sio kama waathiriwa. Kwamba pumzi itakuwa nyepesi. Kwamba nchi itapona.
Mpaka siku hiyo ifike tunashikilia tumaini kwa nguvu ya mwisho iliyobaki moyoni. Hatupaswi kuwa waoga hata kidogo kupingana na hofu hii. Honestly we are not living, ni kama tuna tokezea tu kuona the other day. Very disturbing life. Nitajitahidi kwa kila namna ninayoweza kwa msaada wa Mungu kuhakikisha pengine siku nikipata wajukuu waje kusema “We had a very courageous and good grandfather.”
Jipeni Moyo Sana Familia Zote Ambazo Waume au Wake na Watoto Wenu Wako Mstari Wa Mbele Ktk Struggle Hii Ya Kudai Wema na Haki Ktk Nchi Yetu.
BADO MASAA 24 TUKOMBOE NCHI YETU.
Muda kama huu Kesho nchi nzima itakuwa na MAANDAMANO ya amani tukiwa na MABANGO yetu.
NB: Tutaandamana kwa AMANI NCHI NZIMA.
REPOST 200
#D9#Disemba9Tunatoka#SiriNiNamba#TUTAKUWEPO🫵😎
Huwezi kuwatenda watu kama takataka na wakati huo ukasema unamwabudu Mungu. Malipo yenu kutoka kwa Mungu hayawezi kufichwa kwa kupanga maneno. DAMU inalia sana.
Short and clear from Gen Z Tz 🇹🇿✊🏽
Hotuba yao 9 Desemba 2025 Ikulu
The “reconciliation” aka crocodile tears offered by @SuluhuSamia has been rejected by the Gen Z and they have an appointment at the State House on 9 December where they will read their speech!
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
Bravo, Bongo Zozo, for upholding the value of humanity. No government should be defended when it turns against its own people, especially the innocent children in their homes.
The CCM is focused on counting how many properties were burned and destroyed, but has completely ignored the loss of lives taken by the rogue group within the police and TISS.
These individuals sought only to express their concerns peacefully, yet they were met with violence from the government's enforcers.
If it was justified to kill such a large number of citizens, why are you hiding their bodies and preventing their relatives from giving them a proper burial?
In a civilised society, when lives are lost and damage occurs, what truly matters is the loss of life. We can always rebuild property, but we can never recreate life.