@Kipanga1986@Sisimizi3@EsirEid Imebidi nipitie kwanza post zako, najuta kupoteza muda wangu kujadili na chawa, in few words ukishaamua kuwa chawa maana yake umeamua kutokuwa na akili. Tafuta pesa kaka hivyo vihela vya UVCCM vina mwisho.
@Kipanga1986@lusakoBahati@Sisimizi3@EsirEid Ungenijibu angalau, imagine it’s you, serikali ije kukudai kodi kwenye sehemu ambayo hujafanya biashara for a year utaenda ukope pesa ili ulipe kodi. Jibu ni moja tu yes au no