@PolycarpMDM Unajua ni kwa nini wamekuwa na hiyo average broo?! timu 3 zilikuwa kwao na ndo waandaji wa michuoano...kwa hiyo automatically watajaza mechi zao full..mechi zimeshachezwa 8,kwenye hizo 3 out of 8 zilikuwa na full...lete average baada ya tournament kuisha
@Max991719@mTusiOriginal Wewe ndo papai mzee...lakini kwa mtu mwenye akili hapo kaelewa vzr,nchi zetu siasa nyingi kwenye mambo serious na upigaji tu....hatuna plans zozote, ngoja tuambiwe ukweli
🏆 Referee announced for 2026 #SuperCup!
We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
@Ljcom2033@cw_pedro Milele ya kutuletea democracy mbovu nchini mzee?!,kuleta mambo ya utekati kwenye nchi yetu?! NO! NO! JPM ndo source ya hapa tulipo now kama nchi
Wadada wa Saloon, ukiwaambia hufanyi scrub wanakununia kwani ni lazima kila ukinyoa ufanye Scrub..?
Na wakiitaka hela yako utasikia "Kaka tuhamie chumbani nikakuoshe na nikufanyie scrub ya Kichwa nywele zina mba"🙌🏾
ShoMadjozi aliandiakaga andiko moja la maana baada ya ile oct29 kuliko wasanii wote wa Tz(lipo mwisho👇), binafs nimekuwa fan wake for years before, ila baada ya lile andiko nikampenda zaidi❤️🙌 baada ya kuachana na record label aliyokuwa anafanya nayo kazi alirudi tena kwenye 👇