Habari naitwa ESTER GIDION MICHAEL umri (20), naishi kijiji cha GUTA wiliya Bunda (Mara). Dada, kaka na baba zangu nina shida ambayo nataka niwashirikishe kama mnaweza kunisaidia basi mnisaidie. Naomba mnisamehe kama pia nitakuwa nimekosea kutumia mtandao huu kuomba msaada.