Nashidwa niseme asante kws namna gani ili mnielewe kwamb namaanisha ila jamn asanten sana hayo yote skuyategemea kwangu imekuwa kam suprise asanten san najua mnatoa muda, pesa na mawazo yenu kwa ajili yangu asante mm sitawlipa ila yeye alaiye mkuu kuliko sisi atawajaza❤
@9c252dc22e44430 Ntasoma kwa juhudi zangu zote sababu natamani nifike pale ninapo pafikiria natamani ndoto zangu ziwe uhalisia siku moja nafaham c kaz nyepes ila ntajitahid sana
Sina mengi ya kusema zaidi ya kusem ASANTE kwa hapa mliponifikisha sikudhan kam ningesiman nilipo leo ila ni nguvu za MUNGU na moyo wenu wa utoaji asanten kwa michango yenu inanipa moyo wa kupiga hatua asanten san naomb msichoke kunisaidia kwa hatua zilizobaki.
Habari wapedwa namshukuru MUNGU naianza safari kuelekea dar es salaam chuoni ila jamn nauli yangu haitoshi kunifikisha Dar es salaam inaishia singida naomb nisaidien nifike chuoni dar
Habari naitwa ESTER GIDION MICHAEL umri (20), naishi kijiji cha GUTA wiliya Bunda (Mara). Dada, kaka na baba zangu nina shida ambayo nataka niwashirikishe kama mnaweza kunisaidia basi mnisaidie. Naomba mnisamehe kama pia nitakuwa nimekosea kutumia mtandao huu kuomba msaada.