@MrDepalitto7 Kwa maslahi ya watoto huyu dada alitakiwa kuwa mpole kwasababu tayari yupo ndani kwake (sehemu salama). Alichokifanya ni kuchochea hasira ya huyu jamaa jambo ambalo lingeweza kuleta madhara makubwa zaidi.
#VIDEO "Kama hizi bodaboda ambazo serikali inawaambia vijana wajiajiri huko zingekuwa kweli ni suluhisho la ajira kwa vijana basi zingejaa sana China kwasababu wao ndio watengenezaji na wana idadi kubwa ya vijana lakini hawajazifanya kuwa ndio kimbilio la ajira kwa vijana" James Mbowe - Mwanasiasa na mwanachama wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)
#EastAfricaTV
@TBoundBuses Hiyo speed ni 80 kmph ambayo ni ya kawaida kwenye msafara, tuta ni la ghafla na dereva kajitahidi kulidhibiti gari. Pongezi kwa dereva ingawa post yako imekaa kichonganishi .