Sometimes unatamani kuomba ushauri kutoka kwa experience traders.
Lakini unakuta tatizo lako ni tamaa. Unajua kabisa Tp unapaswa kuweka PHH /PLL lakini huweki unangoja account inone.๐ฎ
1: Hauna pesa biashara zote zimekwama na bado mpenzi wako anakupa moyo ipo siku utapataโ ๏ธ
2; Umejipata ukiwa na mpenzi wako alievumilia kipindi huna kitu. Ghafla anakwambia kilamtu afate mambo yake na yupo serous ๐ค pisi za chuga ๐