@hpolepole Yaani huyu jamaa sielewi anataka Nini,pia nadhani mwenyewe haelewi anachokitaka! Umekuwa katika mfumo wa utawala wa Chama chako muda mrefu,upuuzi wote ambao umekuwa ukifanyika dhidi ya wananchi umeshiriki kwa asilimia zote! Badala yake kebei na dharau kwamba tunaijua V8?๐ Kwenda
@CossenyEdward @MagufuliJP@SuluhuSamia Kwanza alitakiwa kukaa kimya,! Anamlalamikia Nani! Vyama vingapi vinatawala? Je wanaowahamisha machinga wako chini ya utawala wa Chama gani? Unajua watu wasiokuwa na akili ndo hawawezi kuelewa ujinga huu,yaani wanatengeneza tatizo halafu wanajifanya wanalitatua shame!
@darmpya_ Huyu kijana mjinga Sana,hivi unataka kuwadanganyaje wananchi? Kwamba serikali iliyopo madarakani ya Chama gani?. Je wanaopanga mipango ya kuwahamisha machinga wako chini ya utawala wa Chama gani?.Bora angekaa kimyaa Watanzania wa karne hii huwezi kuwadanganya kizembe hivi
@darmpya_@SuluhuSamia Yaani huyu dogo kichwa chake kibovu anakurupuka Sana! Analalamika utadhani nchi inaongozwa na vyama viwili tofauti,na je wanaotoa maagizo ya kuwahamisha machinga wako chini ya utawala wa Chama gani? Kwa Sasa tuna Chama kimoja tu kinachotawala Sasa sijui anamlalamikia Nani?๐
@ccm_tanzania Acha ujanja ujanja kijana,Tengeneza tatizo tatua tatizo,Watanzania wa karne hii sio wakudanganya kirahisi hivyo tulia dawa yenu inachemka
@SuphianJuma@kigogo2014@Chahali We ndani ya CCM unajua nn kaa kimya na njaa zako,ndo maana hakuna mtu mwenye muda na wewe licha ya kupiga debe,tutakuaminije wew na muhimi mwenzio Kigogo akili zinafanana
@CossenyEdward @MremaJon @PKibatala@freemanmbowetz Neno Dr sio dili maana unaweza kukuta huyo https://t.co/QPMPzCQwJg kama Dr.Manyaunyau au Maji Marefu
@Mo1Frank@hpolepole Ok yaani hapa ninachotaka kujua kwann Sasa? Amepatwa na Jambo gani ndo aanze kuwa na uchungu? Kwanini hakufanya hivi miaka mitano iliyopita? Ndo maana nasema wenye akili ndo wanaweza kuhoji Mambo Kama haya,lakini wapiga kelele Kama yeye wataona sawa mtu mwema kumbe njaaa kali