@BDonD_@MarekaMalili Kwa kifupi sekta ya ujenzi hasa wakandarasi imepata-paralysis kote nchini ukitoa Wachina sehemu chache nchini kwahiyo pesa imekuwa tabu kweli kweli mradi wa serikali kulipwa kimbembe NPLs (Non Perfoming Loans) kibao kwa sasa mambo magumu kuliko
@MkulimaKante Hii ipo wapi Iringa usafirishaji wake uko vp maana tuliwahi safiri nayo kwenye gari ikawa inajaa tu ikaanza mwagika ikabidi tuifakamie njia nzima mpka kufika imeisha
@Royaltv_plus Duh.....Urusi mbona kama wanaanzisha safari kisiasa zaidi kuliko uhalisia ulivyo kwanini wasijikite kwanza kwenye hizi regional routes na kadhaa kama India, China, UAE watalii gani kutoka Urusi? Tunajua nchi za Ulaya haiwezi kutua lakini tuache mihemko