Hon. Emmanuel Nchimbi.
Imagine mtu Kama huyu ambaye alikua anaongea face to face na baba wa TAIFA Julius Nyerere Leo hii anafutwa CCM wanaleta Watu hata wasiokijua Chama na kumtoa mkongwe akijuae chama.
Bado heshma yako itakuwepo Dr Nchimbi.
Free Mh Emmanuel Nchimbi 💪
Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu
Najua machawa watapita kama wana aga Maiti hawataki kujifunza.
Hawataki kuonzea Maarifa ata kwa kidogo wao kazi yao ni kusifia Mgema na Tembo.
Mtu hutaki kufikirisha Ubongo wako ata kiduchuuu Kidooogo Tuuuh.
Mzazi, kwa mtazamo wako, ni wakati gani si sahihi kumwadhibu au kumrekebisha Mtoto anapokosea? Je, huwa unazingatia mambo hayo?
Shiriki mjadala https://t.co/SJczSbYY00
#JamiiForums#JFMalezi#Maisha
Credit: Al Ihsaan TV
Kama unateswa au unasumbuka na mahusiano/mapenzi, una mpango wa kuoa au kuolewa, Maisha yanakuchanganya, unaona umri unaenda ila still u have nothing, in short huelewi , unakaribia ku give UP????
MSIKILIZE HUYU DADA, USISASAHAU KU BOOKMARK NA RETWEET/REPOST NA MWINGINE AJIFUNZE