Jenga mahusiano yako na Mungu, dumisha upendo na familia yako, tunza marafiki wako wachache wa ukweli, simika upendo na mpenzi wako- hizi ni silaha au Jeshi litakalo kusaidia na kukuvusha katika nyakati ngumu za maisha-kumbuka nyakati ngumu zipo kama hazipo leo basi ipo siku yake
Naomba Tuweke mapuuza na mzaha pembeni then Tuongee km vijana ambao we might still be on earth for the next 40-50 yrs
Genuine reason, nini kinakuzuia ushindwe kutumia elimu uliyoipata chuo kuingiza at least $20 tu kwa siku?
Kwa lugha ya kibenki, Equation aliyoSolve Satoshi ni kuondoa kabisa ‘Double spending’ bila kuwepo intermediary wa kufanya clearing & settlement.
Juu ya hiyo technology akatengeneza peer-to-peer e-cash ambayo ni censorship resistance.
You still call this a bubble??