Kabla hujaomba kazi, hakikisha umeelewa kila kipengele cha tangazo. Waajiri huandika mahitaji yao kwa makini. Usikurupuke kuomba soma, chambua, alafu andaa CV na barua ya maombi inayolenga hayo mahitaji.
Soma job description utaelewa wanachotaka
#cv_and_interview_solutions
Soma Kwa Umakini JD (Job Description)
Kabla hujaomba kazi, hakikisha umeelewa kila kipengele cha tangazo. Waajiri huandika mahitaji yao kwa makini. Usikurupuke kuomba soma, chambua, halafu andaa CV na barua ya maombi inayolenga hayo mahitaji.
#cv_and_interview_solutions
Rekebisha CV Kila Mara Unapoomba Kazi Mpya
Kila kazi ni ya kipekee. Usitumie CV ile ile kwa kila tangazo. Badilisha maneno, skills na uzoefu ili viendane na kazi husika
#cv_and_interview_solutions
4. Hakuna professional brand – haonekani LinkedIn wala Google.
5. Kuomba kazi kama ombaomba, si kama mtaalamu.
Kumbuka: Waajiri wanatafuta solution, si watu wa kulipwa tu.
“Kwa Nini Hukuitwa Interview?”
Makosa 5 Yanayowagharimu Watanzania wanapo omba Ajira:
1. Kutuma CV bila kuelewa kampuni na nafasi.
2. Kuomba kazi kwa "copy-paste" bila kuonyesha thamani binafsi.
3. Kukosa skills za kisasa – bado unategemea cheti tu.👇
3. KUOMBA KAZI KWA BARUA PEPE (EMAIL) HATAKAMA HAIJATANGAZWA
Hii ni njia ya kujituma kwa kutuma maombi ya kazi kwa kampuni unayopenda hata kama hawajatangaza nafasi. Inaonesha juhudi na dhamira, na unaweza kupewa nafasi pindi ikitokea nafasi au hata kuandaliwa kwa nafasi maalum
Ukiweza Kuuza KNOWLEDGE Bongo Kwa Njia ya eBooks, Vitabu, Courses, Masterclass, Workshops & Coaching—Basi Jua Kwamba Wewe Unajua Kuuza Hasa
Hakuna Soko Kubwa Bongo Kama Soko la MAARIFA!
Kama Unataka Kujifunza na Kuiva Kwenye Marketing I mean Unataka Kuwa HATARI hasa Kwenye Marketing—basi Usisome Kabisa Vitabu na Course Zinazohusu Marketing Hakuna Kitu Kule zaidi ya Fundamentals
Badala yake:
“Soma Vitabu Vyote Vinavyohusu WANAWAKE”