@rawasen_ Kwahiyo alieweka umri wa.kustaafu miaka 60 hana akili we ndo una akili sana kwa hiyo unataka kusema umri wa kustaafu uwe miaka 40? Huna akili wewe tafuta kazi kama huna kazi acha kusingizia wazee hawawezi kazi wangelifikisha hilo shirika hapo lilipo unajua lilipotoka
@Ntobi_@mwigulunchemba1@MariaSTsehai Kwahiyo yote hayo umeelezea yamekusaidia nini.Kama ni kusoma sialisoma akafaulu kwa akili yake au ni jina ndo lilifanya mtihani acha ufala wewe.
@EdwinFweni@TunduALissu@tanpol Anaandika kizungu ili walomtuma waelewe, namshangaa kabisa kutokukujua jeshi la akiba ni nini wakati ni hao hao tulokuwa tunawaita jeshi la mgambo ni jina tu limebadilika, eti ndo mgombea uraisi huyo asojua hata jeshi la akiba.
@AnnaMickidady@freemanmbowetz Tena wewe ndo tunataka tukuone uwe mbele na familia yako mnajua kuchongoa midomo tu yakizuka hapa unajifungia ndani na kuchungulia madirishani shwainiii
@sammatt2015 @fredrickjustne Wanapita wakristu kwa waislam na form zao kuchangia either kinanda au ujenzi wa kanisa. Hayo yapo Wala usibishe tumechanga sana tu. Mungu wetu ni mmoja tu.