Ijumaa ya wiki iliyopita niliwasilisha mada juu ya "Legal Aspects of Academic Dishonesty and Plagiarism " kwenye Academic Publishing Symposium iliyoandaliwa na Kitivo cha Sheria,Chuo Kikuu cha Iringa https://t.co/r02yruKjOV
Timu yetu hii ya watu 29 kwa miaka mitatu mfululizo bila kuchoka imefanya kazi nzuri ya kulea vijana hawa kwenye safari yao ya elimu katika chuo kikuu cha iringa. Nawashukuru na kuthamini mchango wenu https://t.co/2mPrZxXMCz
#Fikrazafaith#Usidharau mtungi uliokupa maji,wala mikono iliokulisha wakati wa dhiki,kua makini namna unavyofunga milango unaweza kuhitaji kuitumia kuingia kwenye ufalme wako.
As a brother with a sis taking law and many female friends practicing law this is an internet challenge I can fall behind. #DontRushSistersInLaw. Here is to You Martha, Salma, @halmamiigo and others. ⚖️⚖️⚖️
Jumatatu ya wiki hii,kitivo cha sheria cha chuo kikuu cha iringa tulipata ugeni kutoka wizara ya katiba na sheria, ulioongozwa na katibu mkuu,naibu katibu mkuu na maofisa wa wizara na CLE. Waliweza pia kuambatana na principal wa law school of Tanzania
Wakati niko shule nilikuwa nasoma tu ili nifaulu mitihani.Nilipoanza kazi nilisoma kile tu ninachotakiwa kufundisha ila nilienda sana kazi ya kufundisha. Lakini baadae nikatamani kufanya zaidi na kujua zaidi ila… https://t.co/3WajG7dOEk