@munyamambogo Nadhani changamoto kubwa iliyopelekea Nissan Patrol kuanzia Y62 mpaka hii Y63 isifanye vizuri masoko ya Africa na kushuka kwa kiasi Middle East ni hakuna option ya diesel kwenye hayo matoleo ambayo ni flagship kwao inakulazimu kukubali kutumia petrol tu.