ππππ ππππ: Klabu ya Al-Hilal Riyadh ya Saudi Arabia imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa Nigeria, Odion Ighalo kutoka Al Shabab FC kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi.
KitengeSports