Top Tweets for #ALBADIRI
HUWEZI TENGANISHA #USUFY NA UCHAWI AU #USHIRIKINA
📚💦
>> Yaani hakuna sheikh wa kisufy anayeweka kukataa uchawi na ushirikina kwamba sio mila zao
🫴huyu sheikh wa kisufy anasema ; ile dua aliyofanyiwa yule sheikh raashid njuki akafa kwa ajali ya gari ilikua ni #ALBADIRI NA NI #UCHAWI
🫴halafu anasema yeye pia anaweza kuifanya ila sio kwa jambo kama lile😱
"Kasema dua za albadiri wanatumwa majini na yule sheikh alikitana na jini akaligonga ndio akapata ajali"
KAJUAJE NI UCHAWI ULE KAMA HAFANYI⁉️
KAJUAJE GARI LILIGONGWA NA JINI⁉️
masufy ni washirikina
NA NDIO MAANA SHEIKH ARAAFAAT AL_MUHAMADIYY (Allah amhifadhi) alipokua tz🇹🇿 alipoulizwa kuswali nyuma ya imamu sufy akasema haifai kuswali nyuma yao ...ni watu wa shirk
@MovingOto @BlackWolfBeast @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @HabiibYahyaa @MMheruka
@HashimuMok23111 @HashimuMok23111 @msouthherbs @AbuuSumayyah10 @Mbwana_1 @mazimba_ @Asia_Zamah
Hivi haiwezekani Ikasomwa #Albadiri yoyote aliyehusika Kwenye Kifo cha Mzee wetu Tukazika kabla ya October 🤔
Watu wa Tanga embu Fanyeni Jambo✍️

Kumradhi Ndugu Zangu, Hivi Sheria Inasemaje Kuhusu Dua Ya #ALBADIRI!??
Iliwahi Kupigwa Marufuku Kusomwa!? Na Ni Kwanini Siisikii Sana Sikuhizi Watu Wakiiongelea!?
Na Kama Unataka Mtu Au Watu Fulani Wasomewe, Unatakiwa Ujiandae Vipi? Kwa Anayefanamu Tafadhali!!
@millardayo Hizi Habari zinasikitisha sana,Taifa letu la Amani na Upendo Linavurugwa, Tunapandikiziwa Chuki baina yetu kwa faida ya Watu Wachache, Niwakati kwa kila Mtanzania kuomba kwa Imani yake ili Mwenyezi Mungu atupe Mwisho mwema na kila mwenye nia ovu afedheheke na Kuangamia👊#ALBADIRI
Tunakoelekea jina la mgombea wa upinzani likipitishwa awe anasomewa #albadiri ya kuwa ikitokea ameshinda atatumikia wananchi kwa miaka 5.😎
"@Jovial1Sue: @Lesuuda wacha niwasomee #Albadiri ndio wageuke kuwa mapanya #KAAthieves" Pliz do darling. cc @JosephineKulea
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers







