Top Tweets for #BandaFc



#NdondocupUpdates: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas yupo katika Dimba la Uwanja wa Bandari kushuhudia mchezo wa fainali #ToroliKombaini vs #BandaFC.
#Tunatoboa.


#NdondocupUpdates: #HalfTimeKinesi #BandaFC 1-0 #MabiboMarket.
#Tunatoboa.
#NdondoCup2020 #Tunatoboa kwa nguvu kubwa ya @kcbbanktz @nawezatz @dumecondoms @asas_dairies @dr.mwaka @dstvtanzania @shadakasports na @atcbtanzania

Kipindi cha pili kinaendelea bado matokeo ni #BandaFc 1-0 #MabiboMarket, Mshindi wa mchezo huu atakutana na Keko Mwanga kwenye Nusu Fainali ya Ndondo Cup 2020.
Endelea kutazama LIVE game hii Plus TV kupitia king'amuzi cha DStv Channel namba 294.
#NdondoCup2020 #BeLikePlus

🤣🤣🤣🤣👌Mbinu Mpya ya kulinda uwanja kutoka kwa shabiki wa #BandaFC.
#Tunatoboa.
#RoboFainali
#BandaFCvsMabiboMarket
#NdondoCupNaWatuWake

Upepo umebadilika, #BandaFc wamepindua meza na sasa wanaongoza mbele ya Mabibo Market.
#BandaFC 2-1 #MabiboMarket
#NdondoCup2020 #RoboFainali


#BandaFc 1-0 #SinzaBoys (⚽️Issa Said) .
#Tunatoboa #Ndondocup2020 na @asas_dairies @dumecondoms @nawezatz.

#FaruJeuri wanaibuka na ushindi katika mchezo wa kutafuta mshindi wa 3 wa #NdondoCup2018 kwa changamoto ya mikwaju ya penati
#BandaFC 6-7 #FaruJeuri
#WashtueWana Jumapili fainali inapigwa pale Wembley Uwanja wa Bandari Tandika #KivuleUtd Vs #ManzeseUtd saa 10:00 jioni

Mashabiki wa #ManzeseUnited wakishangilia kutinga fainali ya #NdondoCup2018 baada ya kuwatungua #BandaFc kwa mikwaju ya penati.
#WashtueWana
#NdondoCupUpdates | #Kinesi.
Unaweza kufuatilia LIVE mtanange wa leo (#BandaFc #360vsXXL) kupitia CLOUDS TV.
#WashtueWana | #SporstxtraNdondoCup2018

Jumapili itakuwa vita ya wanasiasa, wachumi na viongozi mbalimbali: #Clouds360 #BandaFc watapambana na Chumba Cha Habari #BurudaniFc
@Hassanngoma3 anasema viongozi kama @JMakamba wameshatangaza kuwa upande wa timu yao. Tunatarajia kupata kauli rasmi za viongozi kufahamu timu zao

#Clouds360 mwakajana walikuwa na #MisosiFc ya Tandale na wakawa mabingwa. Misosi washatolewa na mwaka huu timu yao itakuwa #BandaFC timu ambayo mwaka huu imeshiriki kwa mara ya kwanza lakini hawajapoteza mchezo wala kutoa sare hadi sasa.
#NdondoCup2018 #WashtueWana

#NdondoCupUpdates | #Kinesi.
Magoli matatu ya mchezaji Issa Ngoah (#BandaFC) yaisweka #IlalaKota bandani na kuiacha timu ya #BandaFc ikitinga hatua ya #RoboFainali #SportsXtraNdondoCup20I8.
#WashtueWana

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











