Top Tweets for #BongoFleva2017
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #BestMC @mcpilipilitz ameweza kufanya vizuri ndani na nje ya Bongo na kujizolewa mashabiki na heshima kubwa ya kazi yake ambayo aliacha kazi yake ya ualimu na kuifata ndoto yake ya kuchekesha.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #SaluteToTheLivingLegend alihamasisha wengi kwenye game Joseph Mbilinyi. Aliaanza kama 2 Proud ikaja Mr II (Mr 2) baadae Sugu. Ndio msanii mwenye album nyingi zaidi Bongo mpaka sasa (10 albums) #Kitabu #MuzikNaMaisha #MrMP
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #HeavyRotation #WimboUliochezwaSanaRedioni ingekuwa vipi @MwanaFA #Starehe Ferouz #Latipha MB Doggy #Namba8 Daz Baba @FidQ #Nikusaidiaje @ProfessorJayTz #ZigoRemix @AyTanzania @diamondplatnumz #Muziki @Darassa #SeduceMe @OfficialAliKiba
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #RecordBreakingSong #WimboUliovunjaRekodi2017 #SeduceMe @OfficialAliKiba kwa kufikisha Views Millioni 1 ndani ya Saa 38 katika mtandao na kuchezwa mara nyingi zaidi katika Redio na TV na kutrend @YouTube #Twitter na #Instagram na kuwa #Gumzo
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #BestMC @mcpilipilitz ameweza kufanya vizuri ndani na nje ya Bongo na kujizolewa mashabiki na heshima kubwa ya kazi yake ambayo aliacha kazi yake ya ualimu na kuifata ndoto yake ya kuchekesha.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #Dopest emcee 2017 @jaymoefamous ameweza kuwa na Consitency kwenye game na kuweza kurudi kwa hit na hit na kwenda sawa na muziki na kuingia kwenye chati za Muziki na Video, Kapiga shows, deals na kuwesa kuwa featured na kizazi cha sasa.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #MenejaBoraWaMudaWote @BabuTale alianza kuwa meneja wa #BongoRecords na baadae wasanii haada ya Kaka yake Abdu Bonge, Tip Top Connection, WCB na kusaidia wasanii wengi zaidi katika game. Hongera na ubarikiwe zaidi 2018.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #TheNextBigThing Msanii atakayekuja kufanya vizuri @AslayIsiaka @chinbeestz @rosa_ree1 @mimi_mvrs11 @luludivatz #NedyMusic @Billnass_tz @COUNTRYBOYTz @OMGTanzania @BekaFlavour wakiendelea na moto huo huo. 2018 iwe zaidi.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #TrueDefinitionOfaHipHopAct Msanii anayefanya na kuishi Hip Hop Bongo wa Muda wote ni @FidQ #2017 amechange game plan yake lakini bado akibaki katika misingi ya Hip Hop. Salute to Kubanda. Stay Fresh.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #MsaniiWaBongoFleva ambaye ametoa ngoma na kukubalika mwaka huu @ommydimpoz #Cheche amefanya shows na tour Marekani na Mikoani. Bado yupo kwenye ramani
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #BehindTheSceneOfTheYear #NyumbaYaMchezo Meneja wa Msanii / Wasanii waliofanya vizuri 2017 @BabuTale @Sallam_SK @SevenMosha @MkubwaFela @MxCarter #Chambuso #Mubenga
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #ChorusKiller @GnakoWarawara @chinbeestz jamaa wameuwa sana katika viituo vya ngoma kibao zilizokiki mwaka huu. 2018 uwe mwaka mwema kwa #BongoFleva na Kwenu.
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #BestGroup #KundiBoraLaBongoFleva #NavyKenzo @AikaTz @Nahreel wamefanya kazi nzuri huku kila mmoja akiwa na kitu chake speicial, Collabo na @OfficialAliKiba @Patorankingfire na Album juu #AIM
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo ☆ #MwimbajiBora Fundi wa Sauti na Tungo Bora za Kiswahili @OfficialAliKiba
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
