Top Tweets for #BongoFleva2018
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestMCOfTheYear @mcpilipilitz miongoni mwa ma MC pendwa zaidi, na 2018 ameongoza kufanya shughuli nyingi za u-mc bila kushuka! Ni kama msanii, Pilipili amefanya tour Tanzania na nje ya Tanzania huku akifurahisha wengi kwa kazi yake.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #InternationalModel @FlavianaMatata Ni model wa Kimataifa wa kujivunia, amefanya mambo mengi makubwa na ku-inspire vijana wengi kufanikiwa. Ametoa Ajira kupitia bidhaa zake #LAVY na kuchangia pato la Taifa. Ni mrembo anayeitangaza Nchi Kimataifa.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #PersonalityOfTheYear2018 @IdrisSultan ameweza ku-inspire vijana wengi kuishi ndoto zao bila kujali wapi walipoanguka na kuwapa nafasi nyingine ya kuinuka. Mjasiriamali wa #SultanbyForemen #Jopo amekuwa balozi wa kampuni kubwa #Uber #Vodacom
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestInternationalCollabo @diamondplatnumz x @Omarion #AfricanBeauty umekutanisha wakali wakuimba nyimbo pendwa duniani. Umeweka rekodi kubwa Ndani na Nje ya Nchi #Chart #Views #Sales #Trending na kufanikiwa kutangaza kiswahili mataifa mengine 🌏
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestRNBSongOfTheYear @africanboyJUX #Fimbo umekuwa wimbo wenye mafanikio zaidi 2018 uliofanya vizuri kwenye chati za muziki, #Airplay #Radio #TV #Views #YouTube. Ni silaha ya mwisho ya Jux katika #Shows. Bora katika #Audio #Video #Mashairi #Wazo
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestNewAct #Whozu amefanya vizuri sana 2018 na kuonesha uwezo wake kwenye shows na kufanya hits kama #Manyaku #HuendiMbinguni na bado ameshirikiana na @bill_nass #KwaLeo na kuandikia wasanii kibao ngoma zao. Anaonesha kuja kufanya makubwa 2019.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestCollaboOfTheYear #Katika @NavyKenzo @AikaTz & @Nahreel x @diamondplatnumz Umechezwa sana na ku-debut / kuingia mpaka namba 1 trending #YouTube, #Views nyingi ndani ya muda mfupi na kushika chati mbalimbali za muziki Ndani na Nje ya Nchi.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #NewPromisingAct #Marioo amekuwa kwa kasi sana na ameendelea kufanya vizuri kwenye shows, tours, chati mbalimbali za muziki #Radio #TV na kuanika nyimbo za wasanii wengi wakubwa wenye majina. Anaonesha atakuja kufanya makubwa zaidi 2019.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestHipHopAlbum #SamMagoli @NikkiZohan imejaa Beats na Rhymes kali za Hip Hop, Flows, words-play na Production bora iliyoandiliwa rasmi kumfikia shabiki. Ni album ambayo imebeba ujumbe kwa vijana na imempa Nikki mashavu #WasafiFestival
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestHipHopAlbum2018 #Kisimani @Wakazi ni album yenye Production kali iliyojaa ngoma ambazo Wakazi anauwezo wa kurelease moja moja mpaka 2019 inaisha. Imebeba Uandishi, Uwasilishaji na Flows za Kibabe. Beats, Rhymes, Messages vinaipa sifa zaidi
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestFemaleRapper @rosa_ree1 amekua rapa mkali wa kike 2018. Amesaini dili kubwa na lebo ya South Africa, Collabo na @iEmteeSA, na kuendelea kufanya vizuri kwenye chati, airplay ya vituo mbalimbali na #MediaTour nyingi za kutangaza kazi zake.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #HipHopLegend #Entrepreneur #BestLyrist @MwanaFA amefanikiwa kumfanya @MauaSama kuwa msanii mkali wa kike Bongo na kuja na bidhaa zake #FYNbyFalsa Body Spray. Anabaki kuwa msanii mwenye mashairi ya akili na ufundi mwingi sana wa kiswahili.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #HipHopLegend #HipHopMogul @AyTanzania ametoa ngoma ya #Microphone #Safari ambayo ni wimbo utakaoishi muda wote. Kufanya ngoma na King Kiki ni kuonesha AY anacheza Ligi Kubwa. Ametoa mashavu kwa wasanii wengi zaidi na kuwekeza katika Sanaa.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestMale @AslayIsiaka amefanya Hits kubwa sana 2018, Shows Ndani na Nje ya Nchi. Amefanya vizuri zaidi kwenye mtandao wa #YouTube
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestFemale #Nandy amefanya Hits kubwa sana na kuja na bidhaa, amefanya shows nyingi Ndani na Nje ya Nchi. Amefanya ziara yake Marekani na ametoa Album yake #TheAfricanPrincess Hongera Sana.
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #BestFemaleVocalist #Ruby ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana wa suati na uimbaji. Anadhihilisha hilo katika nyimbo na shows zake anazofanya #Davido alipokuja Bongo, Ruby aliuwa sana na msanii wa siku aliyepiga show kali usiku ule. Endelea kufanya
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #MajorComeBack @OfficialShetta #Hatufanani ni ngoma kubwa ambayo imemfanya Shetta arudi kwenye game 2018 kwa nguvu na kushika chati mbalimbali, kukaa #trending na kupiga #views #YouTube
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #EmergingArtistOfTheYear @MauaSama amefanikiwa kufanya mambo mengi makubwa kwenye muziki. Katoa Wimbo Pendwa zaidi wa Mwaka #iokote licha ya changamoto alizopitia. Amekuwa zaidi na kuongeza Mashabiki wengi Afrika. Amepata Nominations za Kimataifa
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo @ Dar es Salaam, Tanzania — in Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/JtY5ZYVoT1
#BongoFleva2018 #NyotaWaMchezo ☆ #FansfavoriteRecordOfTheYear - Wimbo Pendwa zaidi wa Mwaka 2018 #iokote @MauaSama Ni wimbo ambao umeongoza zaidi kuchezwa/kukaa kwenye chati vituo mbalimbali #Radio #TV #Mitandao na kuweka rekodi za views nyingi #YouTube na kumpa mafanikio zaidi.
Last Seen Hashtags on Sotwe
momsonn
Seen from United States
malavikamohanan
Seen from United States
candidass
Seen from United Kingdom
маленькиеиспанскиеканикулы
Seen from United States
monstercock #ai #nsfw
Seen from Turkey
pyt
Seen from Sweden
momsonn() filter:native_video since:2026-06-15
Seen from Netherlands
nolimit
momsonn() + filter:native_video
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
