Top Tweets for #BringbackourMo
Ilikuwa heshima kubwa kuonana na Mheshimiwa Dkt. Monique Nsanzabaganwa, Naibu Mwenyekiti wa @_AfricanUnion. Ili kufanikisha ndoto ya #Afrika, tunahitaji sera imara na ushirikiano wa karibu kati ya sekta binafsi na AU ili kuendeleza maendeleo ya bara. #MoAfrica

@moodewji But ukusema #Free mdude#Free Freeman mboye#freeTito pamoja na wanaharakati wengi waliowekwa kizuizini lakini walipiga kelele na kuimba #BringbackourMo na wale waliokuteka ulifunga mdomo Mud Y!?
@moarthur I remember when I really enjoyed reading your tweets. They were fun, unique, witty and made me and many others smile. The biggest disappointment of Covid is the impact it’s had on your tweets. Fond memories. #bringbackourMo
@moodewji Kwako wewe wanaotekwa na kupotezwa sawa tu kukaa kimnya, ila mtu kumpiga mkewe si sawa. Usijisahau Boss, #BringbackourMo imechangia sana kukupa uhai kwani wapo ambao hadi leo hawajaonekana walipotekwa. Usikae kimnya kwenye uovu wowote.
The power collective action through social media to create public pressure for my safe release was unimaginable. Thank you to all the angels on keyboards who showed genuine love and care for me through posts/hashtags. This truly blew me away. #BringBackMO #BringBackOurMO (3)

'Kuna maisha ya mtandaoni na maisha halisi.' 📌
#UtamaduniWetu
◾ #MamboSasa #MamboBaadae
◾ile hashtag #BringBackOurMo Wananchi walijua kabisa kuna mambo yanafichwa sio Wajinga. Hawa ndio walipa kodi hadi @tanpol mnalipwa mishahara
◾Mtaendelea kufichaficha au mtawajibika?
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChangeTanzania
Sio kila mtu anastahili kujibiwa na wewe. Fikia kiwango juu cha kuamua nani anafaa au nani kumpuuza!
Now that you know that
Tukitoka kwa @zittokabwe na #JusticeForZitto turudi kwa @moodewji na #MoIsBack bila kusahau wakati wa #BringBackOurMo ni nani aliyemteka??
Hitimisho: mjadala wa mashoga tumeletewa hatujaiibua wenyewe tujiulize: kwa nini baadhi ya viongozi wetu kwa awamu hii wanaibuka na hili suala ghafla na kutaka kuwakamata mara watajwe? Kwa sababu hawana agenda wanayojiamini nayo. Tusipelekeshwe. Tufute ujinga, maradi na umaskini
MO DEWJI AJITOKEZA MTANDAONI NA KUTOA SHUKRANI ZAKE
> Mfanyabiashara Mohammed Dewji ametumia akaunti yake ya Mtandao wa Twittee kumshukuru Mungu na Watanzania
> Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii walianzisha kampeni maalum kwa kutumia #BringBackMo na #BringBackOurMo
#JFLeo

Wote mlioomba for #BringBackOurMo na #BringBackMO naomba niwaulize. Hii alfajiri inaanzia saa ngapi.
Yale Mambo yet Sasa yanazema @moodewji aliachiwa/alitelekezwa alfajiri saa 8.30
#ChangeTanzania
Mungu mkubwa. Finally found #MoDewji. Hongereni Tanzania twitter family kwa Umoja. #BringBackOurMO was trending.
Kaka unapendwa #BringBackOurMO nimekutana na vijana Zanzibar wamevaa sare za T-shirt za manjano. Nikawauliza Kuna nini? waka jibu wanashangilia Mo karudishwa. 🙏🏻
Mungu akuweke,Mungu akuzidishie hekima na busara Na Mungu akupe nguvu ya kulisahau hili. days of mental torture
Kuna maisha baada ya UONGOZI.
Kuna maisha baada ya SIASA.
Malipo Hapa hapa duniani kwa Mungu mahesabu.
“ Roma alirudi na kauli kama aliyorudi nayo Mo”
Kuna siku wataongea, kuna siku watanzania wataujua ukweli. Lkn kwa sasa tujiepushe na DHANA 📌
#BringBackOurMo
The Lion is back. God is great #AllahuAkbar @DewjiFoundation @MeTL_Group #ChangeTanzania #BringBackMo #BringBackOurMO

Hapa ndio wapinzani wanachukua points
Unaweza kuona ni namna gani walinzi wa serikali wanazchemka, na kusababisha washambuliaji wa upinzani kuwapiga bao kadri wanavyotaka
#BringBackOurMO #MoWillBeBack #MoIsBack
Ifike mahali tuelewe kwamba hizi hash tag za #BringBackMo #MO #BringBackOurMO #MrudisheMoWetu #PichaZaCCTV #MohammedDewji na nyingine nyingi zimechangia kwa kiasi kikubwa kurudi kwake. Kamwe tusidharau nguvu ya mitandao. #Moisback 🙏
Kipande cha video kinachothibitisha kupatikana kwa Mo Dewji alfajiri ya leo.
- Akiwa na baadhi ya maafisa wakiongozwa na Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Polisi Dar es salaam, Lazaro Benedict Mambosasa; ambaye ameeleza namna Mo alivyopatikana
#BringBackOurMo
Last Seen Hashtags on Sotwe
รับงานแหลมฉบัง
Seen from Thailand
MVSales
Seen from Pakistan
اغتصاب
Seen from United Arab Emirates
francaise pute
Seen from France
diyarbakirtravesti
Seen from Turkey
Teenager Teenager $
Seen from Turkey
puckisgoated
Seen from United States
momsonn ()************************* filter:videos
Seen from France
NYMarr
Seen from United States
iskenderun
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



















