Top Tweets for #CFMUPDATE
#CFMUPDATE: Orodha ya wasanii wanaowania tuzo ya The Headies imetajwa ambapo Tanzania inawakiklishwa na @diamondplatnumz , @officialzuchu na @rayvanny
Diamond ametajwa kwenye vipengele viwili ambacho ni AFRICAN ARTIST OF THE YEAR akiwa nachuwana na @burnaboygram,

#CFMUPDATE:Studio session!! @officialalikiba na @marioo_tz wameingia studio. Na video yao wakizungumza juu ya watu kupenda Trending imedaiwa kuwa ni kama Dongo kwa Diamond Platnumz ambaye amedai Julai β Januari ni yake.
Na haya ndio mazungumzo ya Alikiba na Marioo.
ππ ππβ ππππππππππ πππππππ ππ
#CFMUPDATE:
Dakika '42'
Singida Big Stars 1οΈβ£ π 0οΈβ£ Simba SC
β½οΈKaseke

#CFMUPDATE: Droo ya UEFA Champions League imechezeshwa na hizi ndio timu zitakazochuana kwenye mzunguko wa 16.

#CFMUPDATE:Kamanda wa Polisi mkoani Kagera William Mwampaghale amethibitisha kutokea kwa ajali ya Ndege ya Kampuni la Ndege la Precision Air amesema juhudi za uokoaji zinaendelea kufanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la wananchi JWTZ pamoja na wavuvi.

#CFMUPDATE : Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwa Victoria mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoaji wa abiria unaendelea.

#CFMUPDATE: Kampuni ya Marvel Studio, kupitia BLACK PANTHER, wameachia albamu ya muziki wenye ngoma zilizotumika kama Sound track. Katika albamu huyo mastaa wa Nigeria wamepata nafasi akiwemo Burna Boy, Fireboy DML, Rema, Tems na CKay.

#CFMUPDATE:Polisi Lagos-Nigeria wameaachia watu 6 kati ya 8 kutokana na kifo cha mtoto wa Davido, ila Kiongozi wa nyumbani (Chief) na Dada wa kumlea mtoto (Nanny), ambao walikuwa na jukumu la kuwa karibu na mtoto pindi wazazi hawapo nyumbani wamebaiki polisi.

#CFMUPDATE: Hii kila mtu na mtuwe!! Ushawahi kujiuliza kuwa pia hata Daimond anawasanii amabo anawakubali kinoma.. ndio anakubali Marioo, Jux na producer S2kizzy.

#CFMUPDATE: Mitandao ya Nigeria imeripoti taarifa ya kifo cha mtoto wa Davido na mpenzi wake Chioma Rowland, kuondokewa na mtoto wao wa kiume aitwaye Ifeanyi (3).Huku chanzo za kifo cha mtoto huyo kinadaiwa ni kuzama kwenye bwawa la kuogela l nyumba ya staa huyo

#CFMUPDATE: Ngoma ya Kwikwi kutoka kwa @officialzuchu imeshika nafasi ya tano katika ngoma 10 zinazofanya vizuri Barani Afrika kwa sasa.
Ngoma hiyo ilitoka wiki tatu zilizopita na mpaka sasa inafanya vizuri kwenye platform mbalimbali za Muziki ndani na nje ya Bongo.

#CFMUPDATE: Hizi ndio ngoma 14 zinazopatikana katika albamu mpya ya #Wizkid iitwayo 'More Love, Less Ego' itakayotoka Novemba 6, 2022.Amefanya kolabo na Lauryn Hill, Ayra Starr, Naira Marley, Travis Scott, Don Toliver, na Buju Banton.

#CFMUPDATE:Rihanna anatarajiwa kuachia ngoma yake mpya siku ya jumatano ijayo!! Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka mitano.Pia amemshukuru Tems kwa uandishi wake katika wimbo wake mpya βLift Me Upβ uliotoka leo ambao ni Soundtrack ya filamu ya βBlack Panther 2:

#CFMUPDATE: EP ya KHAN ikutoka kwa @mbosso_ imetoka na inangoma zipatazo sita, ambazo ni:-1.Huyu Hapa
2.Pole Ft @iamrubyafrica πΉπΏ
3.Shetani Ft @costatitch & @alfakat__ πΏπ¦
4.Wayo Ft @yalevisdalwear π«π·
5.Assalaam Ft @moodyh2 π΄π²
6.Yataniua ft @diamondplatnumz πΉπΏ

#CFMUPDATE: Amou Haji, Raia wa nchini Iran ambaye amekataa kuoga kwa kutumia sabuni na maji, kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya kuwa mgonjwa amefariki dunia.
Inaelezwa kuwa Haji alikubali kuoga miezi michache iliyopita baada ya kukwepa majaribio kadhaa ya kuoga

#CFMUPDATE: Staa wa muziki kutoka Nigeria, Skales amefiwa na mama yake mzazi.
Enzi za uhai wake amewahi kuwa mwalimu wa shule, lakini pia amehusika kumlee pekeyake msanii huyo tangu alipokuwa na miaka sita baada ya baba mzazi wa msanii huyo kuachana na mama yake Skale.

#CFMUPDATE: Ikiwa zimesalia siku 30 kwa msanii wa muziki Mbosso kuanza Tour nchini Marekani, kesho anatarajia kuzindua rasmi EP yake mpya na ya kwanza iitwayo KHAN.
Ukiachia EP hii mbosso ameshaachia albamu ya Definition of Love Album, kwa mwaka 2021 ambayo inangoma 12.

#CFMUPDATE: Mtandao wa TopChart Africa umeweka orodha ya mastaa wa muziki nane Barni Afrika wenye wafuasi (Subscribe) wengi kwenye mtandao wa Youtube, huku nafasi ya kwanza ikishikwa na @officialzuchu -2.29M, ya pili@yemialade -2.10M na nafasi ya tatu.@therealsinach -1.97M.

#CFMUPDATE: Mtayarishaji wa Tamthilia nchini Lamata amefungua rasmi studio yake kubwa ya utengenezaji filamu na tamthilia iliyopewa jina la LAMATA VILLAGE STUDIO. Kwa sasa unaweza kumuita Tyler Perry wa Afrika Mashariki.

#CFMUPDATE: Familia ya marehemu George Floyd ametangaza kumfungulia kesi rapa Kanye west kufuatia maoni aliyoyatoa kwenye mahojiano na Podcast ya Drink Champs mwishoni mwa wikiendi, juu ya kifo cha mpendwa wao, na wanafamilia wanamkata Kanye awalipe Tsh Bilioni 583/=.

Last Seen Hashtags on Sotwe
malmonroe
Seen from United States
amadoresγ
€
Seen from Germany
smalldick
Seen from Australia
η«Άζ³³ζ°΄ηγ@nanase230230
Seen from Japan
nolimit nolimit()*+filter:native_video
Seen from Pakistan
η·ε€§
bakΔ±rkΓΆygay
Seen from Turkey
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈΰΈ£ΰΈΰΈ²ΰΈ’ΰΈ
Seen from Thailand
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈ°ΰΉΰΈΰΈ΄ΰΈΰΉΰΈΰΈ£ΰΈ²
Seen from Thailand
nolimit() since:2026-05-10
Seen from Germany
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers










