Top Tweets for #ChekaTu
@nezzow anasema kuwa #Watubaki wamebase sana stejini wakati #ChekaTu wamebase kwenye mitandao ya kijamii
#5SELEKT @modoo_255 @blessing_teba
@smirnofftz #WeDoWe #noknownaddress
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
@nezzow yupo tayari kwenda katika platform ya #ChekaTu endapo watafikia Dau analolitaka
#5SELEKT @modoo_255 @blessing_teba
@smirnofftz #WeDoWe #noknownaddress
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
"Sidhani kama #ChekaTu walipendelwa bali wana mashabiki zaidi kuliko #Watubaki" @kipotoshi
@rich_msafii @piwamagic @februaryomar @mauki_tz @djsummertz
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
Honestly mpaka sasa naamin tuzo zilikua kwa ajili ya #CHEKATU ila kiukwel #WATUBACK wanafaya poa sana kwenye industry ya comedy hata dogo sele kapata tu kwasababu #CHEKATU hakuna janja mdogo kama yeye otherwise wangetoka patupu
#TUTAKUWEPO

Mchekeshaji @mtotowadada_ anasema kuwa sababu kubwa iliyomfanya atoke kwenye kundi la #ChekaTu ni suala zima la kipato.
#Jibooosti #AirtelMoneySuperBonus @airtel_tanzania
#5SELEKT @modoo_255 @blessing_teba
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
@mtotowadada_ anasema kuwa kwenye suala la utafutaji halina mipaka,amaesema kuwa kama @coy_mzungu ataweka dau zuri mwanetu anasepa #Watubaki kwenda #Chekatu
#Jibooosti #AirtelMoneySuperBonus @airtel_tanzania
#5SELEKT @modoo_255 @blessing_teba
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
#VCOMEDY Kati Ya #EliudSamweli Wa #ChekaTu Na #Kipotoshi Wa #WatuBaki Nani Anakonga Zaidi Moyo Wako? Tuambie Hapa
#V-Comedy
.
#ChannelVUpdates
#V-Comedy
#AchaVitukoViendelee

@LeonBetTZ @balozi123 @CarenUswege @spana_Konki @007Cardinal @dijei377 Mambo iko huku mje kwa spidi kubwa🔥🔥🔥
#LEON #LeonBetTZ #SimbaLaMikeka #leonbet #simba #leonbettrivia #chekatu #chekatuleonbetedition
Leaders Club #ChekaTu

@Sirjeff_D Nimecheka sana @Sirjeff_D kwani #chekatu hawajakuona kuwa talented comedian mzee @Sirjeff_D
Azam TV hii Cheka Plus TV, hamkujipanga Steshen inastaack kama ilivyokuaga Wasafi mwanzoni, inaboa sana.
Watu unawaona vipande vipande kama wamepasuka
#ChekaTu
Leornado anajua sema content yake inakuhitaji uwe na elimu ya juu kama Dr. Sisimizi.
Anasema majina ya maeneo ya Ushuani ni mafupi, "Masaki, Mbweni, Goba, ila uswazi "Maramba Mawili, Gongo la Mboto.
#ChekaTu
Sasa ni muda wa Leornado mkali wao ni mwendo wa kucheka tu tena sanaaaaa.
#ChekaTu
Dah Eliud amekosekana kwenye Show ya #ChekaTu aisee ila jamaa anajua sana ikabidi achekeshe Online na bado watu wakacheka.
Jamaa anajua sana aisee
Huyu Maarifa ananjaa sana, kaomba hela kwa DC Nikk wa pili, Madee atamuua kwa njaa huyu dogo.
#ChekaTu
Huyu Demu Neira anajua sana sema tu ndiyo hivyo Content zake zote anawasema wanaume tu.
Anasema ukimuona mwanaume anayevaa shati na kufungua vifungo juu hao ni Mabichi Boy kazi yao kubaka wanawake wakiwa wanafundisha kuoga
Ila anawasema sana wanaume
#ChekaTu
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers











