Top Tweets for #CountryWizzy
Hili Dude nalipa 10/10. Hamna alie onesha unyonge acha tu enjoy mziki Mzuri #countrywizzy

#BURUDANI Rapa @countrywizzy_tz ameweka wazi tofauti za #YoungDee na #Stamina zilivyofanya kutoendeleza Project zao kwenye kundi la Mtu Chee.
#PlanetBongo #OFFAIR #CountryWizzy #Stamina #YoungDee @piwamagic @februaryomar
#BURUDANI Made of Gadaffi @countrywizzy_tz akituambia alivyoweza kukubaliana na @StaminaTz kutoa nyimbo zao za kwanza pamoja.
#PlanetBongo #OFFAIR #CountryWizzy #Stamina @piwamagic @februaryomar
#BURUDANI Mbuzi @younglunya ameiambia #eNewz kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa #Drake lakini ukimwambia achague #Drake na #CountryWizzy atamchagua @countrywizzy_tz
#eNewz #CountryWizzy #YoungLunya #Drake
#BURUDANI Kutoka kwa Joe Biden Marekani @Roma_Mkatoliki anasema rappers wa kisasa hawezi kuandika Verse 3, @countrywizzy_tz huyu hapa akinyoosha maelezo kuhusu hicho alichokisema Roma.
Pitia Youtube ya #EastAfricaTV kupata interview kamili ya #CountryWizzy na @shneida_infos
#Trending #CountryWizzy #RomaMkatoliki #YoungLunya #HipHop #Rap
#BURUDANI @countrywizzy_tz akifunguka sababu zinazofanya baadhi ya rappers wengine kumchukia na kumshambulia @younglunya
Pitia Youtube ya #EastAfricaTV kupata interview kamili ya #CountryWizzy na @shneida_infos
#Trending #Youtube #CountryWizzy #YoungLunya #HipHop #RapBattle #Rap
#BURUDANI Rapa @countrywizzy_tz akinyoosha maelezo kinachoendelea kati yake na CEO wa Kondegang Music @harmonize_tz baada ya kutoka kwenye lebo hiyo.
#eNewz #Harmonzie #CountryWizzy
#BURUDANI Chino Wana Man #ChinoKidd anasema yeye ni pacha wa rapa @countrywizzy_tz kwa sababu ya mfanano wao na watu wengi kumuita mdogo wake Country wanapomuona.
Ni kweli wamefanana kati ya #ChinoKidd na #CountryWizzy
#PlanetBongo #ChinoKidd #CountryWizzy
#Reels Mwanamke yeyote atakayempenda (Country Wizzy) nitampenda, akishaoa nitamshauri - Mama Mandingo
Upo tayari kuchaguliwa mpenzi/mke na mzazi wako?
#Reels #CountryWizzy #MamaMandingo ๐ฅ @shneida_infos
#Reels MIMI MWENYEWE BABY VILEVILE ๐
Story za @shneida_infos na Mama mzazi wa rapa @countrywizzy_tz
#Reels #CountryWizzy #Trending #HipHop #Music
#BURUDANI Mbuzi @YoungLunya anasema hawezi kusahau Wali Maharage kwa Mama Mandingo.
Mama Mandingo mwenyewe ndio huyo hapo ndani ya #PlanetBongo hapa #EastAfricaRadio. Ni mama mzazi wa rapa @countrywizzy_tz na mtangazaji Babuu wa Kitaa.
#CountryWizzy #HipHop #Rap #WayBack

#BURUDANI Unaambiwa rapa @countrywizzy_tz anatokea familia ya Muziki, Mama yake mzazi 'Mama Mandingo' huyu hapa anafunguka zaidi #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap
#BURUDANI "Nime-Change Formation yangu, siwezi kufanya hizo Collabo za watu wengi. Nimekuwa nikizfanya sana kwangu mimi haziniongezei kitu" - @countrywizzy_tz
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap #Moco #MoniCentrozone
#BURUDANI Tegemea kusikia tena chemistry ya 'Moco' @MoniCentrozone na @countrywizzy_tz kwenye nyimbo zao zitakazofuata.
#CountryWizzy anasema wana ngoma 9 na Moni ambazo zipo tayari.
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap #Moco #MoniCentrozone
#BURUDANI Huu ubora, unoma na ukali alionao @countrywizzy_tz kwenye muziki ni muunganiko wa Marehemu Mangwea na Lil Wayne kwa sababu ndio wasanii anaowakubali na kumu-inspire.
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap #RIPMangwea #LilWayne
#BURUDANI Rapa @countrywizzy_tz amefanyiwa bonge moja la Surprise na mama yake mzazi 'Mama Mandingo' baada ya kumuibukia studio akifanya Interview ndani ya #PlanetBongo.
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap
Siku hizi naishi maisha yote niliyoyaishi kwenye Ndoto #countryWizzy
#BURUDANI "Mimi sio Bilionea lakini nina pesa nyingi. Nina pesa ambayo sikuwa nayo mwanzo sasa hivi naweza kufanya kila kitu popote pale" - @countrywizzy_tz
#PlanetBongo #CountryWizzy #YoungLunya #HipHop #Rap

#BURUDANI Tegemea kumuona @younglunya kwenye Fashion Shows za nchi za nje mwakani kama ambavyo yeye anatuambia hapa kupitia #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo #CountryWizzy #YoungLunya #HipHop #Rap
Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchat
Seen from United States
ensestpaylasฤฑm
Seen from Turkey
issue
Seen from Japan
miamalkova
Seen from Indonesia
tonguesucking kiss
Seen from Turkey
anxiouspanda
Seen from Chile
goonbait
Seen from United States
minichatt()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video()**************filter:videos
Seen from Germany
anxiouspanda()+filter:native_video
Seen from Turkey
hypnokink #gay
Seen from Algeria
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers







