Top Tweets for #CrownfM
CROWN MEDIA. Mnawachukulije Mashabiki wa Simba. Badala ya kujibu maswali mnajitoa.
Je pale mlipo muhojo mangungu ni Kilwa na invitation aliwapa nani.!?
Au Mnahusika na Migogoro ndani ya Simba kwa kuwa sehemu ya propaganda za Mangungu.!?
@CrownMediaTZ
#simba #crownfm


Kwenye Kikao hii leo #MFALME @Salym ameketi na Dorothy Temu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo @ACTwazalendo na Mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho.
Ni kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 3:00 Usiku kupitia #CrownfM
Fuatilia live kupitia CROWN TV CH.415 (Azam TV Dish) na YouTube yetu CROWN MEDIA link kwenye Bio.
#KasriLaKikeke #HapaNiNyumbani #KIKAONAKIKEKE
#CrownDigital
Ikiwa Uchambuzi wa mpira sio elimu ya darasani ni kuujua mpira basi Mzee said ni Mchembuzi Bora sana kuliko Asilimia 99% ya wachambuzi wa #CrownFm & Tv .
Tulizane Hivi #Jemedari atamfikia #Mzee_said Au #Juma_Ayo atagusa Kwa #Mzee_Said SEMA nini huyu Mzee kakisa Connection TU.

Hii ndio akili Yako sahihi uliyo kua nayo #WasafiFm najua Ulikutana na mazumbukuku wa #CrownFm kama #Jemedari #JumaAyo na ndio tatizo likaanzia hapo
Lakini nazani Huu mfungo wa #Kwaresima na #Ramadhani utakukomboa Mwanetu na Ushilikina wa wachambuzi vilaza unaokanao karibu.

Kwenye #KIKAO leo Mfalme @Salym ataketi na Katibu mwenezi wa @ccm_tanzania Ndugu Amos Makalla ni kupitia #CROWNFM kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 3:00 Usiku.
Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Tune In CROWN FM, Youtube CROWN MEDIA na kwenye kisimbuzi cha Azam ni chaneli namba 67.

CAFCL/CAFCC: "Yani mnatangaza vizuri sana sana" maneno ya mtangazaji wa kipindi cha #Jirani ya @crownfmtz @riyamaally akiwasifia watangazaji wa kandanda wa #AzamTV Baraka Mpenja na @gharib_mzinga ambao walifika makao makuu ya #CrownFM kuutangaza uhondo wa soka wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Mechi ya Yanga ni Jumamosi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
Mechi ya Simba ni Jumapili saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#CAFCL #CAFCC #LigiYaMabingwaAfrika #CAFConfederationCup

⛔️𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒...!
Mwanamuziki Wa Rap Nchini 🇹🇿 #Rapcha Amethibitisha Kuachana na Aliyekuwa Msimamizi wa Kazi Zake za Muziki #PFunkMajani na Sasa Wapo Kama Familia…!
Kupitia #CrownFM Rapcha Amesema Amemaliza Muda Ambao Walikua Wanafanya Kazi Lakini Bado ni Familia Yake,

#coding is not for the weak 🙂 The rule is one, if it works, dont touch it...🙌 cooking #CrownMediaApp #crownmedia #crownfm #crowntv #programming #reactnative #flutter #php #python #nodejs #mysql

Week chache nyuma tulikuwa tunaenda Singida tulipata ajali na basi la Happy Nation na nikapoteza simu yangu smartphone.
Kuhusu taarifa ya msiba wa King Kikii taarifa nilipewa na producer wenu.
Ali choki
#CrownFm
Yule mtangazaji imani Luvanga she's so creative and keen , ile intro yake ya hujambo is massive.
#crownfm
#EntertainmentWire DC Wa Instagram @MwijakuBurton Amefunguka Leo Kupitia Kipindi Cha ‘Jirani’ Kinachorushwa Na #CrownFM Kwamba Mrembo #MalaikaCute Anampenda @harmonize_tz Ila Msanii Huyu Moyo Wake Upo Kwa Mrembo #KajalaMasanja.
#ChannelVUpdates
#EntertainmentWire

Msemaji wa #Simbasc analala mika kisa #Hance mchambuzi wa #CrownFm kuchambua mpira na kukaa sehemu anayo amini kama mchambuzi na anamlazomisha kufanya propaganda za mpira ili aisifie simba hata kwa uwongo kama wachambuzi wengine
Mwambien semaji bhana #Mpira_Ni_Mchezo_Wa_Wazi



Last Seen Hashtags on Sotwe
KadıköyMasaj
Seen from United States
高弹体育生
Seen from United States
แตกในคาหี
Seen from Thailand
jungkookmoans
Seen from Sweden
人類大屠殺
Seen from United States
anxiouspandaa()()() + filter:native_video
Seen from Netherlands
Pussymasturbation
Seen from Qatar
musclegrowth
Seen from United States
巨屌
Seen from Japan
抖音网红
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















