Top Tweets for #DARASANI
#Darasani
Je unajua ya kwamba technolojia ya Bluetooth jina hilo Lilitokana na mfalme aliyeitwa Herald Bluetooth ambaye alisifika kwa kuyaunganisha mataifa.
#BarakaExpress na @Jonathan_Tinga

Les fêtes de fin d'anné fappent à la porte. Dr Augustin #Darasani du Centre hospitalier Signers plaide pour une assistance dans ce sens. "Que les personnes de bonne volonté viennent à la rescousse de ces enfants, surtout, les orphelins déplacés", insiste-t-il

#JeWajua #Darasani
Je unajua, Mbuzi ndio mnyama wa kwanza kufugwa na mwanadamu? Mbuzi ndio wa kwanza kufugwa nyumbani kabla ya kondoo na kuku.
#BarakaExpress na @Jonathan_Tinga

#JeWajua #Darasani
Je unajua kwamba katika maisha ya kila mwanadamu kunauwezekano wa kukutana na wauaji 36, bila wewe mwenyewe kujua?
#BarakaExpress na @Jonathan_Tinga

#JeWajua #Darasani
Je unajua kwamba Majken Sichlau of Denmark anashikilia rekodi ya dunia ya kukimbia mbio za Mita100 akiwa amevaa heels.Alikimbia sekunde13.557 sec.May 2, 2015,Copenhagen, Denmark.
#BarakaExpress na @Jonathan_Tinga

Mtu mwenye akili utamtambua #MTAANI na sio #DARASANI ………. Washikajii wanacheka mpaka nasahau mistari 😀😀😀😀
744DFZ yake @mubeyamubeya mali ya @NewForce_LTD
#JeWajua #Darasani
📷 Inaaminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita.
📷 Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende duniani.
📷 Mende anaweza kuishi mwezi 1 bila kula ila hawezi kuishi zaidi ya wiki bila kunywa maji.
#BarakaExpress na @TingaNyaejr7
#JeWajua #Darasani
Je wajua kuwa ,kuanzia manzoni mwa mwezi wa Mei hadi mwishoni mwa Agosti Uswidi jua hutua usiku wa manane na kuchomoza saa kumi alfajiri?
#BarakaExpress na @TingaNyaejr7

#JeWajua #Darasani
Je wajua ya kwamba sehemu ambayo jina lake ni refu zaidi ulimwenguni linapatikana nchini Newzealand?
Hebu tusaidiane kusoma "Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitamatahu"
#BarakaExpress na @TingaNyaejr7

#SupaBreakfast Chuma @malickmansoortz anakwambia umtaje mtu bonge uliyesoma naye na alikuwa na akili darasani 😂😂
Tupo hewani muda huu mpaka saa 3:00 Asubuhi #EastAfricaTV
Cc @malickmansoortz @lucasmasungwa @exaudwamtei @kissadaniel2 #Darasani #Elimu #Shule #Bonge

Tunawatakia Mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la Nne watakao anza kufanya mitihani yao siku ya kesho.
#mtihaniwadarasalanne2022 #mtihanimwema #darasalanne #shuleyamsngi #mtihani #watoto #darasani #shule #imaanprimary #imaan #karatasi #kalamu #maswali #elimu #Islamicftz

1). Ni mwaka 2022 na kila kitu tunachohitaji kujua tunapata kiganjani. Inapokuja kwenye kujifunza zaidi kuhusu jambo lolote tunalotaka kujua, uwezekano mkubwa ni kwamba tunaperuzi moja kwa moja kwenye Google/mitandao ya kijamii ili kupata kile tunachokitafuta. #FursaZaKidijitali

Tunawatakia Mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la Saba watakapo anza kuufanya siku ya kesho.
#mtihaniwadarasalasaba2022 #mtihanimwema #darasalasaba #shuleyamsinhi #mtihani #watoto #darasani #shule #imaanprimary #imaan #imaanmedia #kalamu #elimu #tanzania #islamicftz

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers











