Top Tweets for #Dibada
Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwl. C.Mwakasege inayoendelea Jijini Dar-es-salaam Tanzania imeendelea kulitikisa Jiji kwa ishara na maajabu anazotenda Yesu kupitia Mtumishi wake ktk viwanja vya Tanganyika parkers kawe. #dfmupdates #worship #god #daressalaam #tanzaia #jesus #dibada

Mnaopakwa sabuni na kukanyaga mafuta ya Upako ili kuondoa laana acheni maramoja, laana haitoki kwa njia hiyo bali kwa kuzaliwa mara ya pili kwa kumpokea Yesu kristo! Amesema Askofu Mkuu Sylveser Gamanywa alipokua akihubiri BCIC Mbezi. #dfmupdates #dibada #God #Tanzania #Church

Kanisa la Tanzania laonekana kugawanyika na migogoro, kuwa watumishi wengi vijana kutokuwa na maadili ya kunyenyekea watumishi wazee waliowatangulia. Mtumishi wa Mungu Joh Saidi awasihi watumishi wa Mungu kuliangalia hili kwa kina. #dfmupdates #dibada #tanzania #youth #God

Ushiriki wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na dini zote hauna mjadala. Maneno ya Rais Dr. Ali Mohamed Shein na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alipotembelewa na Askofu Dr. Maimbo Mndolwa wa Anglikani, Ikulu Zanzibar. #tanzania #zanzibar #dibada #dfmtupdates #god

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



