Top Tweets for #EACFoodStandards
Ushirikiano wa kikanda ndio nguzo kuu.
Kwa kubadilishana uzoefu na kuunganisha juhudi zetu, Afrika Mashariki inaweza kuweka viwango vya pamoja vitakavyolinda afya za wananchi na vizazi vijavyo dhidi ya mafuta hatari ya Trans Fats(iTFA).
#TransFatFreeEAC
#EACFoodStandards

"Shirika la Afya Duniani (@WHO ) linashauri viwango vya iTFA visizidi gramu 2 kwa kila gramu 100 za mafuta.
Nchi 66 tayari zimeweka sheria hizi, lakini Afrika bado kuna pengo kubwa." Julia Untoro | @WHO
@TawlaTZ
#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC

Ushirikiano wa kikanda ndio nguzo kuu! Kwa kubadilishana uzoefu na kuunganisha juhudi zetu, Afrika Mashariki inaweza kuweka viwango vya pamoja vitakavyolinda afya za wananchi na vizazi vijavyo dhidi ya mafuta hatari.
@TawlaTZ
#TransFatFreeEAC
#EACFoodStandards

Kutokomeza mafuta hatarishi ya trans fat inawezekana! Viongozi na wadau wa Afrika Mashariki wanatakiwa kugeuza ahadi zao kuwa sheria za lazima, zikiasisiwa na mifumo thabiti ya ufuatiliaji na usimamizi sokoni.
@TawlaTZ
#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC

Tanzania imeendelea kuweka muungano wa utetezi, timu ya ufuatiliaji wa viwanda, na mtandao wa wanahabari. Wizara ya Afya inaunga mkono mchakato wa viwango kupitia TBS unaoratibu viwango vya TransFat
#EACFoodStandards
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC

Kutokomeza mafuta hatarishi ya trans fats (iTFA) inawezekana.
Viongozi na wadau wa Afrika Mashariki wanatakiwa kugeuza ahadi zao kuwa sheria za lazima, zikiasisiwa na mifumo thabiti ya ufuatiliaji na usimamizi sokoni.
@TBS_Tanzania @wizara_afyatz
#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC

Mapendekezo ya WHO na Hali Halisi Duniani
Mzungumzaji: Julia Untoro (@WHO )
Mafuta ya hatari ya Trans Fatty Acids(iTFA) hayana faida yoyote kiafya na yanasababisha vifo elfu 280,000 kila mwaka duniani.
Shirika la Afya Duniani (@WHO ) linashauri viwango vya iTFA visizidi gramu 2 kwa kila gramu 100 za mafuta.
Nchi 66 tayari zimeweka sheria hizi, lakini Afrika bado kuna pengo kubwa.
#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC

Last Seen Hashtags on Sotwe
school pussy
Seen from Malaysia
tiktoklive porn
Seen from Turkey
bokepjj
Seen from Germany
เธฃเธฒเธก2
Seen from Thailand
furryscat
Seen from Japan
minichat((((((((**********************************************)))))))) +filter:videos
Seen from Denmark
BackingDoing
Seen from United States
omegle
Seen from Turkey
mom #son #fuck
Seen from Israel
amateurinterracial
Seen from Spain
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers









