Top Tweets for #FILAMU
#Filamu ya Kijasusi: Ufuatiliaji Unaendelea Episode 01 https://t.co/4s29gCcdvj
Hizi ni baadhi ya movie bora kwa watu wazima tu! ๐๐
1. Love, Simon (2018)
2. Palm Springs (2020)
3. Malcolm & Marie (2021)
4. Purple Hearts (2022)
5. The Lost City (2022)
Ongeza nyingine unayoipenda!
#Filamu nzuri

Kwenye #VibeNaMchongo tunakuletea @SautiZetuFilms Festivals! Tarehe 11-12 Oktoba, Little Theater Oysterbay, Dar es Salaam. Tutaonyesha filamu 15+, mijadala, na burudani! KIINGILIO BURE! Jisajili hapa: https://t.co/dPC6exIJls #Filamu #Burudani
Hii inaweza kuwa moja ya habari kubwa kwa wapenzi wa series na filamu kwa ujumla baada ya #Filamu mpya ya Peaky Blinders inatarajiwa kuja kwenye Netflix, namshindi wa tuzo ya Oscar, Cillian Murphy atarejea kama #TommyShelby,๐ kiongozi wa genge maarufu. Habari hizi zimeleta msisimko kwa mashabiki wa mfululizo huo maarufu, ambao umekuwa ukipendwa kwa miaka kadhaa kutokana na hadithi zake za kuvutia na uigizaji bora.
Filamu hii itakuwa Mwendelezo wa hadithi za Shelby na genge lake, na inatarajiwa kuleta msisimko mpya huku ikiendeleza masimulizi ya kipindi hicho. Mashabiki wanaweza kutarajia kuona vituko vipya, njama kali, na maigizo yenye nguvu kutoka kwa , ambaye amepongezwa sana kwa uigizaji wake kama Tommy Shelby.
Netflix itatoa filamu hiyo kwa watazamaji kote duniani, ikihakikisha kwamba mashabiki wa Peaky Blinders wanapata fursa ya kufurahia hadithi hii ya kusisimua.

#DriveShoiw: Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Dr. Kiagho Kilonzo amefafanua namna wasanii wa filamu wasio na simu janja na wale walio vijijini wanavyoweza kujisajili bodi ya filamu katika mfumo wa kisasa sawa na wenzao.
#DriveShow #NdingaMpyaTown #BodiyaFilamu #Filamu
#DriveShoiw: Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu hapa nchini Dr. Kiagho Kilonzo ametolea ufafanuzi wa kwanini wasanii wa filamu wanatakiwa kujisajili katika bodi hiyo, amezungumza hayo kupitia Drive Show ya East Africa Radio.
#DriveShow #NdingaMpyaTown #BodiyaFilamu #Filamu
#DriveShow: Leo Jumanne kwenye Drive Show ya East Africa Radio tuko na Dkt. Kiacho Kilonzo, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu hapa nchini tukijadili mambo mbalimbali, kubwa ni siku 30 za wasanii kujisajili.
Ni kuanzia saa 10:00 jioni, usikose.
#NdingaMpyaTown #DriveShow #Filamu

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Suleiman Serera leo Aprili 21, 2024 Jijini Dar es Salaam ametembelea Bodi ya Filamu Tanzania na kufanya mazungumzo na watumishi wa taasisi.
#filamunibiashara
#filmika
#Tanzania #filamu

#FILAMU: Kama ni mpenzi wa Filamu basi utakuwa si mgeni sana kwenye tambala hili linalofahamika kama ''Leave The World Behind''


@IdrisSultan Katika "Hadaa ya Mapenzi," Juliana anakumbana na changamoto za kufichua siri ya ushiriki wa Jacob na sugar daddy. Filamu hii fupi, iliyodumu dakika 15, inachunguza imani, udanganyifu katika mahusiano ya chuo kikuu siku ya Wapendanao. #HadaaYaMapenzi #Filamu #ValentineDrama
Karibuni sana Tarehe 15, Februari 2024 @mfukotamadunitz wana jambo lao pale @joharirotana Jijini Dar es salaam
#filamunibiashara
#filmika
#Tanzania #filamu
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @wizara_sanaatz

Vipi Mdau, ni kwanini filamu zilizotengenezwa Nchini hazikuvutii kuziangalia? Na unashauri nini kifanyike ili 'Bongo Movies' zirudi kwenye ramani?
#JamiiForums #Burudani #Entertainment #JFChitChats #Maigizo #Filamu #Tamthilia

Vipi Mdau, ni kwanini filamu zilizotengenezwa Nchini hazikuvutii kuziangalia? Na unashauri nini kifanyike ili 'Bongo Movies' zirudi kwenye ramani?
#JamiiForums #Burudani #Entertainment #JFChitChats #Maigizo #Filamu #Tamthilia

Mdau wa Filamu Hassan Vision amefika kujipatia kitambulisho chake
#filamunibiashara
#filmika
#Tanzania #filamu
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @wizara_sanaatz
@gersonmsigwa @emmamwesi
Kitanzania zinazofwata Mila na Desturi zetu na kutoa msisitizo kuja kuleta kazi zao ili ziweze kuhakikiwa na kupata vibali kabla ya kuonyeshwa kokote.
#filamunibiashara
#filmika
#Tanzania #filamu
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @wizara_sanaatz
@gersonmsigwa
Kuelekea msimu wa Tatu wa Tuzo za Filamu Tanzania,Bodi ya Filamu Tunasemaaaaaa!
#Filamunibiashara.
#filmika
๐ฌ๐น๐ฟ #taffa2023
#Tanzania #filamu
Kuelekea msimu wa Tatu wa Tuzo za Filamu Tanzania, Bodi ya Filamu Tunasemaaa..๐
#Filamuniย biashara.๐๐๐
#filmika
๐ฌ๐น๐ฟย #taffa2023
#Tanzaniaย #filamu

Last Seen Hashtags on Sotwe
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเธเธดเธเธกเนเธงเธฅเนเธเธฃเธงเน
Seen from Thailand
BLOCKBOUND
Seen from Panama
nippypics
Seen from United States
เธเธเธก
Seen from Thailand
14y
Seen from Brazil
public #trans
Seen from France
AssLicking
Seen from Turkey
Asian #solo
Seen from Indonesia
democrats
ASEANNAVIES
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers













