Top Tweets for #GAPEProject
π March, a time to honor women's strength and resilience, ends with stories of empowerment! Explore the journeys of Veronica, Maria, and Neema. Celebrate the great achievements of these women! Explore their journeys here β‘οΈhttps://t.co/omcVzaKmI7 #WomenEmpowerment #GAPEProject

Karibu utazame video yetu fupi ya sauti na picha ya mradi wa GAPE kutoka katika Wilaya ya Kongwa -Dodoma na Wilaya ya Nzega-Tabora. #GAPEPROJECT @FranceTanzania
ππ»Bonyenza link chini kutazama video nzima.
https://t.co/Lt4hAIUQKr
βMradi wa GAPE umewasaidia wasichana kujitambua pamoja na kujisimamia kiuchumi kupitia shughuli mbalimbali za ujasiriamaliβ Mwanahamis Muhana.
Kutazama video nzima bonyeza link hii itakupeleka moja kwa moja https://t.co/W3wTEluAu5
#GAPEProject
Zoezi hili linatekelezwa na Mkuu wetu wa Idara ya Tathimini na Ufuatiliaji.
#GAPEPROJECT

Msichana Initiative tumetembelea ofisi yetu iliyopo Dodoma, Wilaya ya Kongwa na tumefanikiwa kutembelea vikundi vitatu vya mradi wa GAPE kwa lengo la kujifunza namna ambavyo mradi huu umebadilisha na kuwanufaisha wasichana. #GAPEProject

Today the team from @FranceinKenya,@FranceTanzania & @FCS_TRUST visited the ZNZ Minister of Agriculture, Irrigation, Natural Resources & Livestock Hon Dr Soud Nahoda Hassan to discuss #GAPEProject and key corporation areas in agriculture btn Zanzibar & France

Vincent ABT from @FranceinKenya; Cecile FROBERT & Juliette GALLOU from @FranceTanzania & @marthaolotu from @FCS_TRUST visited Zanzibar Stare Trading corporation responsible for the production of cloves
#GAPEProject

Vikundi vyetu vya wasichana walio nje ya shule, vinavyowezeshwa kiuchumi kupitia kilimo hai na masuala ya usawa wa kijinsia kupitia mradi wa GAPE, vimeanza kupata matokeo kwenye mashamba ya vikundi. #GAPEPROJECT

As part of services offered by @FCS_TRUST, CEO of @FCS_TRUST @marthaolotu & Juliette Gallou from @FranceTanzania visited #GAPEProject Implementers Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) & @MsichanaUwezo offices in Tabora to assess progress made by the 2 orgs in supporting women

#GAPEProject beneficiaries at Ngukumo ward in Nzega DC Tabora demonstrating on how to make soap. The beneficiaries received training from SAT under the #GAPEProject which supports youth economic empowerment

Juliette Gallou from @FranceTanzania & @FCS_TRUST team paid a courtesy visit at the District Executive Director (DED) office during their field visit in Nzega Tabora
#GAPEProject

Juliette Gallou from @FranceTanzania & @FCS_TRUST team visited Sustainble Agriculture Tanzania (SAT) in Morogoro to assess the organisation's progress in implementing the #GAPEProject.The visit is part of @FCS_TRUST's project management & reporting services it offers

One of key services offered by @FCS_TRUST is to conduct monitoring visits to build the capacity of partners to achieve the expected outcomes. Today @FCS_TRUST team conducted a monitoring visit to @MsichanaUwezo who is implementing the #GapeProject funded by @FranceTanzania

Leo tumetembelewa na @FranceTanzania pamoja na @FCS_TRUST wamekuja kujua maendeleo ya mradi wetu wa GAPE wenye lengo la kuwainua wasichana kiuchumi ili wajue namna ya kujisimamia,kujiamini na kupaza sauti zao pale wanapokutana na matukio ya ukatili. #GAPEProject

Hata hivyo tafiti hizo zinaonyesha wasichana hao wanapitia changamoto mbalimbali, changamoto hizo zinatokana na mahusiano ya kijinsia yasiyo na usawa yaliyojikita katika mifumo kandamizi ambayo yanapelekea kuwepo kwa matukio ya na ukatili wa kijinsia. #GAPEProject

Kupitia mradi wetu wa GAPE tunatarajia wasichana wataweza kujiajiri, kujiamini na kujisimamia hususani katika masuala yanayohusu haki zao. #GAPEProject #WezeshaMsichanaKiuchumi @franceintanzania @FCS_TRUST

Msichana Initiative na washirika wetu @sustainableagriculturetanzania @permaculture_zanzibar kupitia mradi huu wa GAPE tumepanga kuwawezesha wasichana kiuchumi ili waweze kuwa na nguvu ya kusimamia sauti zao na kujikinga dhidi ya ukatili wa kijinsia. #GAPEProject @FCS_TRUST

Wasichana na wanawake wengi wanakosa nguvu ya kufanya maamuzi kutokana na utegemezi wa kiuchumi unaotokana na mahusiano yasiyo sawa ya kinguvu yaliyopo kwenye jamii yetu. #GAPEPROJECT #WezeshaMsichanaKiuchumi

Jana wasimamizi wa mradi wa GAPE kutoka Tabora, Dodoma na Zanzibar (Unguja na Pemba), wamepewa uelewa wa namna wa kukitumia kitita mafunzo kwa wasichana watakaonufaika na mradi huu katika mikoa hiyo. #GAPEPROJECT #WezeshaMsichanaKiuchumi @FCS_TRUST @FranceTanzania

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers























