Top Tweets for #Geitagoldfc

🚨UPDATE
Geita gold fc wanatoa Jezi nyingine ya tatu ambayo watatumia msimu huu 🔥.
Jezi ni ya Rangi ya Gold 🟡 na kwa upande wangu hii ndio jezi nzuri na bora katika jezi zao tatu ambazo wametoa. #nbcpremierleague #Geitagoldfc

LIGI KUU YA NBC inarejea leo kwa michezo hii mizuri unayopaswa kuibetia! 😊🇹🇿🔥
Tumia link 👇 hii au SportyBet App kuweka mkeka wako sasa CHAP!
https://t.co/rsUlkV8se3
#LigiKuu #NBCPL #SingidaBS #Pambajijifc #NBCPremierLeague #Tanzania #Mbeyacityfc #FountainGatefc #Geitagoldfc #soka

Msimu ujao tunarudi Ligi Kuu, Viongozi wataanza kuzikanda pesa ovyo ovyo tutashuka tena daraja.
#GeitaGoldFC

🟧 Wana dhahabu 🪙
👉🏼 Timu yako unayo shabikia wanatumia aina gani ya basi?
#busworldtanzania 🇹🇿 #GeitaGoldFC

Naandika nafuta, naandika nafuta La muhimu #GeitaGoldFC tumewakanda TMA Leo pale Nyankumbu Stadium,Geita 😂😂😂

Tumecheza mchezo wa kirafiki na #Geitagoldfc tumepoteza.
Mapungufu yanazidi kufanyiwa kazi #Wanakawekamo
#Sisi_ni_Miamba
#MapigoMagumu 💪🏾💪🏾💪🏾

Baada ya timu ya #GeitaGoldFC kushuka daraja basi la timu linafanya kazi ya kubeba staff wa halmashauri 😂😂
@_fizo_dzn 📸

#NBCPL Goli la 19 kwa Feitoto…..Goli la pili kwa Azam FC.
FT: Geita Gold 0-2 Azam FC.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #MechiNaneLIVE #MechiZoteLIVE #AzamTV #EndOfSeason #GeitaGoldFC #AzamFC #GeitaGoldAzam
#NBCPL Chuma kutoka kwa beki Yeison Fuentes Mandoza
Geita Gold 0-2 Azam FC.

#NBCPL Magoli mawili ya Singida FG…
FT: Singida FG 2-1 Geita Gold.
Ilikuwa LIVE #SinemaZetu
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #MechiNaneLIVE #AzamTV #SingidaFountainGate #GeitaGoldFC #SingidaFGGeitaGold
RED CARD: Kadi mbili za njano zikazaa kadi nyekundu kwa Nahodha Samuel Jackson Onditi
FT: Simba 4-1 Geita Gold
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #SimbaSC #GeitaGoldFC #SimbaGeitaGold
#NBCPL Goli la nne ni la tatu kwa Ladaki Chasambi kwenye ligi kuu msimu huu….
FT: Simba 4-1 Geita Gold
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #SimbaSC #GeitaGoldFC #SimbaGeitaGold
#NBCPL Goli la tatu ni Ladaki Juma Chasambi….. Assist ni Willy Onana….Tazama ‘move’
FT: Simba 4-1 Geita Gold
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #SimbaSC #GeitaGoldFC #SimbaGeitaGold
#NBCPL Goli la pili…. Free-Kick kutoka kwa Saidi Ntibazonkiza…. !!!
FT: Simba 4-1 Geita Gold
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #SimbaSC #GeitaGoldFC #SimbaGeitaGold
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers