Top Tweets for #GeraldHando
@Sisimizi3 @__abdulazack @kigogo2014 @ngaso6_ngaso Wadau kwenye page hii mnaonaje kwa watu wanaojitolea kuongea kama hawa endapo watapoteza ajira zao tufanye jambo. Mwenye chochote tumsupport #GeraldHando maana kapoteza ajira kwasababu ya wengi.
Tunasimama na #GeraldHando na hakuna asiyejua kuwa mikopo inakera hata machawa wanajua Hilo we have a dead economy due to fact that it's existing through loaningโ๏ธ
Bwana #Gerald_Hando yuko sahihi kuhusu madeni na uchumi #Majizo sio kapaniki analinda Mali yake isifungiwe kwa kurusha ukwel.. Ila huo ndo ukwel wenyew ambao haufundishwi shulen

Huu ni utumwa wa fikrakabisa,#Efm kwakifupi itoshe kusema nyie ni watumwa wa mfumo wa ccm,na hamtoaminika tena,kwa huuujinga mlioufanya,nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari?Jifunzeni kwa wenzenu.Sisi kama Watz tunasimama na #GeraldHando

โWasanii wetu wengi ni chawa wa viongozi wetu.โ- #GeraldHando
Unakubaliana na hili?
#SalamaNaGeraldHando #YST
โWatu makini kwenye industry ya muziki aidha ni wachache na hao wachache wenyewe hawapewi nafasi.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
Unakubaliana na hili?
โKwa heshima aliozikwa nayo Marehemu Ruge ni wazi kuwa waliokuwa dhidi yake ni wachache kuliko waliokuwa upande wake na hadi leo kuna watu wanaomlilia wakitamani angekuepo.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST

โMimi uteuzi wa kufanya kazi serikalini nitaukataa maana sipo ninapopataka.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
โMungu amenibariki najua vitu vingi, imenisaidia kwenye utangazaji kupanga vitu vya kuongea kwneye kipindi. Nilipewa segment yangu mwenyewe nikaitengeneza mwenyewe.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
โ#FinaMango ni mtu ambae alinisaidia sana aliweza kunihandle nilipoanza kutangaza.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
โMama yangu mchaga wa kibosho Baba yangu ni mtu wa Manyara.
Nimesomea hapahapa Dar.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
โSikuwahi kuwa na haraka ya kuoa kabisa wala pressure ya kuoa.โ - #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST
โKitu cha kwanza kinachonipa furaha maishani mwangu ni familia yangu. Mke wangu na watoto wangu wanne.โ- #GeraldHando
#SalamaNaGeraldHando #YST


Jumatatu June 14, 2021 kiongozi wa Chama Changu @ACTwazalendo, @zittokabwe atakuwa kwenye kipindi cha #JotoKaliAsubuhi live kupitia @efmtanzania na @tvetanzania.
atakuwa na #GeraldHando kuifungua wiki ya Mjadala wa Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Sita Bungeni.

Jumatatu June 14, kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo mwami @zittokabwe atakuwa kwenye kipindi cha #JotoKaliAsubuhi live kupitia @efmtanzania na @tvetanzania.
atakuwa na #GeraldHando kuifungua wiki ya Mjadala wa Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Sita Bungeni.

Jumatatu June 14, nitakuwa #JotoKaliAsubuhi live kupitia @efmtanzania na @tvetanzania.
Nitakuwa na #GeraldHando kuifungua wiki ya Mjadala wa Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Sita Bungeni

Hewani muda huu kwenye redio yako: #JotoLaAsubuhi na Irene Killenga (Baby Mama), #GeraldHando na Mussa Kipanya..

Nyalandu:kuhama CCM uamuzi mgumu wa tatu kwangu. #Mwananchi #KunyambuaNaKunyumbulisha #JotoLaAsububi Cc. @kitengemaulid #GeraldHando
Last Seen Hashtags on Sotwe
indievibes
Seen from United States
diarrhea
fiorde
Seen from Italy
blowjob #college
Seen from Italy
sisswap
Seen from India
minichat(***************)+filter:videos
Seen from Singapore
slapping
Seen from Turkey
adameve
Seen from Turkey
Irmovement
Seen from United States
blowjob #boys
Seen from Algeria
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers









