@MariaSTsehai@hpolepole Mimi najiuliza haya mafisadi hasa mzee wa msoga na huyu Mhamiaji haramu kwanini WaTanzania tunashindwa kuwang'oa kwenye Nchi yetu? Kweli tumeshindwa kumng'oa Mhamiaji zama hizi kweli tungeweza kumng'oa Mkoloni? Wazee wangeamshwa tu huko walipo